Ipo Engine bora ya Canter 4D 33, 4D 34 au 4D 35?

longola

Senior Member
Oct 15, 2015
103
244
Habarini Wakuu na wajuzi wa mambo, mafundi wazoefu na wamiliki wa malori. Naomba kujua kati ya izo engine za mistubishi canter:

1.4D 33
2.4D 34
3.4D 35

Ipi ni bora kwa canter mayai ton 3.5 interms of cost of maintenance, service, running cost, fuel consumption, optimal performance, power, durabilty etc.

Naomba msaada nataka kureplace engine iliyokufa.
 
Sijatumia hizo zingine nje ya 4D33. Mimi sio fundi ni mmiliki ninachojua ni kwamba Canter hawajawahi kwenye 4D series huwa naona 4M40 ya canter Guts ndio kimeo ndio kama walidesa hivi. Well chukua 4D33 kapige kazi mjomba hutajuta.
 
Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??
 
Asantee mkuu... 4D 33 inaonekana imekaa vizuri.. hiv ukifunga unaeza miaka mingap kabla ya kuipiga overhaul ??

Itategemea umenunua ikiwa katika hali gani, service zako na kazi inayofanya. Lakini kama utachukua hizi used za dubai na ukazingatia service kwa wakati miaka 4-5 unaweza anza kugusa gusa mashine.
 
Back
Top Bottom