Avechi wanatuma, sema kila siku wanabadilika hawa jamaa. Kuna kipindi walikuwa wanatuma unapokea Ubungo, then wakasitisha, then kipindi fulani wakawa wanatuma tena ila Gharama around 50,000 kwa sasa sifahamu gharama zipoje.
Alternative muagizie mtu ambaye yupo kule, itakuwa bei rahisi, kuna mdau anaagizishia humu
Sam pizzo