Mjomba una madini sana aiseee.... Appreciate commentLg g8x ni flagship ya zamani kama Note 9, hivyo ina vitu ipo juu ipo vizuri na vitu inapitwa.
Mfano kioo chake ni oled ila sio 120hz ni 60hz. Perfomance ni zaidi ya note 9, sina uhakika camera ila probably ni tier moja. Unique features za LG ni Audio, ina 3.5mm jack, quad Dac kwa ajili ya Earphone premium, stereo speaker juu na Chini, na pia ina sd card slot.
Wekaness kubwa ya lg g8x ni fast charge inatumia takriban saa 1 na dk 40 kuwa full charge, simu nyingi za kisasa ni dk 30 mpaka saa 1.
yaani mimi nashangaa sana karibu flagships zote za lg zina sd card slot ila hzi kampuni nyingine ni ngumu sana kukuta hilo.Lg g8x ni flagship ya zamani kama Note 9, hivyo ina vitu ipo juu ipo vizuri na vitu inapitwa.
Mfano kioo chake ni oled ila sio 120hz ni 60hz. Perfomance ni zaidi ya note 9, sina uhakika camera ila probably ni tier moja. Unique features za LG ni Audio, ina 3.5mm jack, quad Dac kwa ajili ya Earphone premium, stereo speaker juu na Chini, na pia ina sd card slot.
Wekaness kubwa ya lg g8x ni fast charge inatumia takriban saa 1 na dk 40 kuwa full charge, simu nyingi za kisasa ni dk 30 mpaka saa 1.
Hata Sony Mkuu zina sd card, sema bei zake zinahitaji mtu anaejiweza kidogo.yaani mimi nashangaa sana karibu flagships zote za lg zina sd card slot ila hzi kampuni nyingine ni ngumu sana kukuta hilo.
Oppo will never resemble to ios.
Redmi note 11 ni nzuri kwa Hayo matumizi.Ninabudget ya 400k
Nichukue simu gani??
vipaumbele
Performance
Kukaa na charge
Kioo kiwe kizuri.
Kwa matumizi ya kawaida.
CHIEF:
A74 itakidhi haja zakeMatindi,
Pokea muongozo kutoka OPPO unaweza tembelea mlimani city pale wana promotion....
Nadhani umesaidika pakubwa.View attachment 2165774
Sijawahi ona oppo ambayo haikai na charge mkuu😂 ipi hio ambayo ulinunua ikawa haimalizi siku bila kuchaji na je ilikuwa brand new?Simu kukaa na Chaji si Brand bali specification husika. Zipo oppo zinakaa na Chaji na zisizokaa na Chaji. Na ukubwa wa Battery ni kigezo ila haimaanishi battery likiwa kubwa basi automatic na simu inakaa na chaji. Kuna simu zina hizo mah za kutosha na hazikai na chaji kama zenye Mah ndogo.
Nimeulizia tigo wanauzaRedmi note 11 ni nzuri kwa Hayo matumizi.
Wabongo sijui kwanini X series hatuna. Ila Reno zimetulia na very slim hazina hata uzitoBajeti ingekua nzuri ungedaka series ya inaitwa Reno sa hv wako kwenye Reno 7 na Reno 7 pro, flagship yao ya X series ni expensive sana na sijawahi kuiona bongo!
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Kwa 400k sidhaniRedmi note 11 ni nzuri kwa Hayo matumizi.
Avechi kenya Inasimama equivalent ya Kama 378,000Kwa 400k sidhani
Hizi note 11 series kuna model zaidi ya 20 tofauti tofauti. Kama ni note 11 yenyewe yenye snapdragon 680 bei ki ghali hio,Nimeulizia tigo wanauza
550k
Ndio bei yake??
Nikiangiza kenya iko sawa ni Ile iliyoko Tigo shop hapa tz.Avechi kenya Inasimama equivalent ya Kama 378,000
Model za kenya ni International version kama za Huku. Pia Redmi 11 ni hio unless imekuwa specified vyengine.Nikiangiza kenya iko sawa ni Ile iliyoko Tigo shop hapa tz.
Kenya nmeiona ina ram 4 na 64gb kwa bei hii.
ShukraniModel za kenya ni International version kama za Huku. Pia Redmi 11 ni hio unless imekuwa specified vyengine.
Wapi kwa bei hiyo hapa mjini?Redmi note 11 ni nzuri kwa Hayo matumizi.
Ni mambo ya kenya Mkuu.Wapi kwa bei hiyo hapa mjini?
Kama inauzwa hivyo basi ndio bei yakeNimeulizia tigo wanauza
550k
Ndio bei yake??