Unataka ya bei gani mi mzoefu wa hizi oppoHabari wanajamvi hivi kwenye kampuni ya oppo simu toleo gani zuri ambalo lina vigezo hivi
4ram
64gb
Inayotunza sana chaji angalau yanye 5000mah
Kamera nzuri
Ambayo pia ni slim(yaani sio nene sana)
NB; NIMEULIZA KWASABAB NAJUA KUNA WATUMIAJ HUMU WANAZIJUA VZR NATAK ILI NINAPOENDA DUKAN NIWE NA WAZO LA AINA MOJA TU LA SIMU YENYE VIGEZO HVYO
Huwa haziwi chini ya 600 - 650 kiloBudget?
Chief-Mkwawa Hii oppo a96 unaonaje inafaa kwa bei ya 780K? Memory ni 6/256gbBudget?
Kwa uzuriChief-Mkwawa Hii oppo a96 unaonaje inafaa kwa bei ya 780K? Memory ni 6/256gb
VS Realme GT Master
VS Reno 6
Vs OnePlus Nord 2
ThanksKwa uzuri
1. NORD 2 nzuri zaidi
2. Gt master inafuatia
3. Oppo A96
4. Reno 6 ya mwisho.
Yoyote kati ya hizo mbili hukosei mkuu, ni soc za maana zinazopambana na Flagship. Kifupi hizo mbili zipo league yake ya kipekee compare na hao wengine wawili.Thanks
Kitakachoamua kati ya GT master na Nord 2 ni bei
Elfu 30 au laki330000
Ipo oppoA15 ram3gb storage32gbLaki 3
Hapana hiyo ngumu kupata labda 400000Kwa 350000 hv naweza kupata 4/64 battery 5000????