- Thread starter
- #61
Ubora
Mpinzani wa ubora au market?
Mpinzani wa ubora au market?
Hapo sawa,huu ni ukweli usiopingikaUbora
Huu mchezo wa kuweka matangazo naskia xiaomi wanao sana.Faida yote wanapata Samsung na Apple na kidogo siku hizi Huawei
![]()
Makampuni mengi hayapati Faida na mengine yanapata hasara kabisa, wanachotegemea wao Ni kupata Faida indirect Kama kukuspy na kuuza data zako, kukuwekea matangazo, kuinstall bloatware unazozikuta ukinunua simu na njia nyengine wanazozijua wao.
Karibia oem wote wa kichina wanayo hii tabia, Hata Huawei sometime anapush matangazo.Huu mchezo wa kuweka matangazo naskia xiaomi wanao sana.