Ipi simu nzuri kati ya noki 6.1 plus(x6) au iphone 7

Ipi simu nzuri kati ya noki 6.1 plus(x6) au iphone 7

Nahisi wanaojua OS ya nokia( lumia/microsoft) hawashangai ninaposema ya uongo maana hiyo android wamekuja nayo juzi( android os kwenye nokia na blackberry ni za uongo sana)!
Nilishawahi kutumia sana Nokia& Microsoft Lumia back in 2013,zilikuwa zinatumia Windows operating system kwa mara ya kwanza,Wakaja Samsung na HTC.Simu zote hizo zilikuwa classic kutokana na system yake ya Windows.

Baada ya kushindwa competition na ANDROID na OS ya iPhone,NOKIA wakaacha kuzalisha Windows phone.Microsoft wakaanza kwa kasi kuzalisha Microsoft Lumia huku wakiziuza dunia nzima.Baadaye biashara ikaenda vibaya kwa sababu APP DEVELOPERS wakawa hawaingizi apps kwenye windows phone store,na pia kulikosekana APP UPDATES kutoka kwa watengenezaji wa apps.Hii ilitokana na ukweli kwamba ANDROID ilionekana ina watumiaji wengi,na huko ndiko kwenye manufaa wakitupia apps zao.
 
Microsoft na wenyewe wameanza kutumia android simu yao ya foldable inaitwa surface duo

images.jpeg
 
Ni user friendly
Windows zilikua nzuri sema Naona Hazikua User Friend kwa wengi,Kwamba ziliwashinda kutumia
Kila kitu ukitaka kukijua lazima ujifunze.Ni kweli hizo LUMIA ni ngumu, lakini ukizielewa raha sana coz ziko unique Sana.

Hata iPhone nazo zina changamoto zake still watu wanazinunua.Wao wamefaulu kwenye ku promote bidhaa zao.
 
Hamna kitu humo.
Walikuwa na apps mbovubovu
Android mwisho WA matatizo
Zile simu ni mwisho, huwa sielewi kwa nini walishindwa kukamata soko!

Window na brackberry wakifanikiwa kurudi kwa OS zao basi android wajipange
 
Natumia hiyo Nokia 6.1 ni nzuri sana nenda kwa nokia hapo
Nipo nataka kununua simu moja wapo kati ya izo ipi ni bora
Kama kuna mtu mwenyewe uzoefu nazo

Note: usinambie ninunue iphone7 plus hapana sipendi plus za iphone zote sababu ya size zake ni kubwa mno
 
Mkuu nokia laki 3 haifiki kaangalie tena upya bei za Nokia sokoni halafu kwa sasa habari ya mjini Nokia.iPhone watu wanazikuza sana
Specs wise iPhone 7 Ni nzuri. Na sidhani Kama zinafananishika, hio Nokia mpya nafkiri hata laki 3 haifiki wakati hio iPhone mpya Ni close to 1m.
 
Natumia hiyo Nokia 6.1 ni nzuri sana nenda kwa nokia hapo
Matoleo yote ya NOKIA smartphones kwa sasa yako chini ya kampuni ya HMD GLOBAL, kampuni ya Finland.Wanazalisha simu kali kwenye hiyo kampuni balaaa.

HMD Global Oy, branded as HMD, is a Finnish mobile phone company, made up of the mobile phone business that Nokia had sold to Microsoft in 2014, then bought back in 2016. HMD Oy (limited company) began marketing smartphones and feature phones under the Nokia brand on 1 December 2016. The company has exclusive rights to the Nokia brand for mobile phones through a licensing agreement.[5] The company was created by inheriting Microsoft Mobile's feature phone business, which was sold by Nokia in 2014. They are in a "close partnership" with Googleand uses the Android One software on their smartphones,[6] whereas on their feature phones the Series 30+ platform or most recently, the KaiOS is mainly used.[7] The HMD brand is only used for corporate purposes and does not appear in advertising, whereas the name Nokia Mobile is used on social media.
 
Windows is the Best ila Huwez amini ziliwashinda nmekutana na wabongo wengi wanalia lia hawaziwezi sijajua uko Kwingine
Ni user friendlyKila kitu ukitaka kukijua lazima ujifunze.Ni kweli hizo LUMIA ni ngumu, lakini ukizielewa raha sana coz ziko unique Sana.

Hata iPhone nazo zina changamoto zake still watu wanazinunua.Wao wamefaulu kwenye ku promote bidhaa zao.
 
How nielekeze man jinsi ya kuinstall niko na xiaomi haapa
Yep! Hii itakuwa poa.Hata hivyo walianza kusambaza bidhaa zao (apps) kwenye ANDROID, Wametengeneza Microsoft launcher ambayo inafanya vizuri sana.Apps zote za Microsoft Kwenye simu utazipata ukiinstall hiyo launcher yao.
 
Hamna kitu humo.
Walikuwa na apps mbovubovu
Android mwisho WA matatizo
😂😂Hadi kesho kutwa huwezi fananisha os ya blackberry na huo upupu wenu wa android hata window huwezi kuiweka kwenye huo mchuzi wenu
 
Mimi Microsoft launcher natumia,na sijaona launcher nzuri kama hiyo, hakuna.Nenda kwenye playstore, itafute then install.Ikikuuliza "Do you want to make Microsoft launcher as your default launcher?" Kubali,hautajutia kuichagua mzee.
Lakini bado kuna watu wanasema OS za window na blackberry ni mbaya sana kuliko android?
 
Window na blackberry kulikuwa Kuna apps hazipo mpaka Android.
Ndo maana Nokia kahamia android
[emoji23][emoji23]Hadi kesho kutwa huwezi fananisha os ya blackberry na huo upupu wenu wa android hata window huwezi kuiweka kwenye huo mchuzi wenu
 
Nokia 6.1 inauzwa 750000 ndo natumia hapa toleo la kwanza
Specs wise iPhone 7 Ni nzuri. Na sidhani Kama zinafananishika, hio Nokia mpya nafkiri hata laki 3 haifiki wakati hio iPhone mpya Ni close to 1m.
 
Back
Top Bottom