Ipi simu nzuri kati ya noki 6.1 plus(x6) au iphone 7

Nokia 6.1 jumuia super market
Screenshot_20191006-043544.jpeg
 
Window na blackberry kulikuwa Kuna apps hazipo mpaka Android.
Ndo maana Nokia kahamia android
Kufanya biashara na Android ni rahisi kwa kuwa kuna watumiaji wengi, that's why NOKIA na hata WINDOWS wameamua kuingiza apps zao kwenye Android.
 
Android si rahisi Kama unavyofikiria makampuni mengi hayapati Faida direct. Na Hawa HMD wanazitengeneza simu za Nokia hawajafikia hata nusu peak ya mauzo ya windows phone. Q3 2013 windows phone ilifikia 10M units Ila mpaka leo HMD mauzo Yao Ni around simu milioni 4.
 
Smartphone yangu ya kwanza kabisa kutumia ilikuwa ni blackberry curve baada ya hapo nikaja kutumia nokia lumia kama mwaka iv badae nikaja kutumia Microsoft lumia 5** badae nikauza nikatumia nokia lumia 930 baada ya hapo nikaja tumia iphone 6 plus bada ya hapo nikaja tumia samsung j5 prime badae nikaja tumia iPhone 6s ilivyoibiwa saiv najishikiza kwenye huawei y6 prime ila

Katika simu zote izo na operating systems zake
Mm nazipanga kama ifuatavyo
1. Blackberry
2. Windows
3. IoS
100. Android

Blackberry alikuwa mtamu ila sikubahatika kumtumia sanaa mana kipind yupo kwenye peak mm nilikuwa shule na windows nae nikamkuta anaishia. ila kwa sasa sizani kama iphone na ios yake anampinzani yupo poa sana

Nilivyoiona nokia 6. 1 plus nilitamani sababu ya umbo lake sio kubwa sana ipo nzuri ila nikiwaza ndani kuna android naumia sanaa bora tu niagize iPhone 7
 
Ewaaa, umezipanga vizuri sana mkuu!
 
Android si rahisi Kama unavyofikiria makampuni mengi hayapati Faida direct. Na Hawa HMD wanazitengeneza simu za Nokia hawajafikia hata nusu peak ya mauzo ya windows phone. Q3 2013 windows phone ilifikia 10M units Ila mpaka leo HMD mauzo Yao Ni around simu milioni 4.
Hilo la HMD Global kutouza kuzidi Windows ni suala la muda, huwezi linganisha kampuni inayopanda na ile inayoshuka.
 
Unamaanisha nini unaposema "Makampuni mengi hayapati faida direct." Wakati tunaona biashara ndani ya android inakua.
 
Smartphone yangu ya kwanza kabisa kutumia ilikuwa ni blackberry curve baada ya hapo nikaja kutumia nokia lumia kama mwaka iv badae nikaja kutumia Microsoft lumia 5** badae nikauza nikatumia nokia lumia 930 baada ya hapo nikaja tumia iphone 6 plus bada ya hapo nikaja tumia samsung j5 prime badae nikaja tumia iPhone 6s ilivyoibiwa saiv najishikiza kwenye huawei y6 prime ila

Katika simu zote izo na operating systems zake
Mm nazipanga kama ifuatavyo
1. Blackberry
2. Windows
3. IoS
100. Android

Blackberry alikuwa mtamu ila sikubahatika kumtumia sanaa mana kipind yupo kwenye peak mm nilikuwa shule na windows nae nikamkuta anaishia. ila kwa sasa sizani kama iphone na ios yake anampinzani yupo poa sana

Nilivyoiona nokia 6. 1 plus nilitamani sababu ya umbo lake sio kubwa sana ipo nzuri ila nikiwaza ndani kuna android naumia sanaa bora tu niagize iPhone 7
Mpinzani wa ubora au market?
 
Unamaanisha nini unaposema "Makampuni mengi hayapati faida direct." Wakati tunaona biashara ndani ya android inakua.
Faida yote wanapata Samsung na Apple na kidogo siku hizi Huawei
s_5887ebe664464f81953a2ee2b9c1030a.jpg

Makampuni mengi hayapati Faida na mengine yanapata hasara kabisa, wanachotegemea wao Ni kupata Faida indirect Kama kukuspy na kuuza data zako, kukuwekea matangazo, kuinstall bloatware unazozikuta ukinunua simu na njia nyengine wanazozijua wao.
 
Hilo la HMD Global kutouza kuzidi Windows ni suala la muda, huwezi linganisha kampuni inayopanda na ile inayoshuka.
Mauzo ya HMD yameshaenda flat siku nyingi tu, unless Wana strategy nyengine si rahisi kukua.
 
Back
Top Bottom