asahd
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 341
- 467
midrange ipi nzuri kwa xiaomi napata kwa bei hiyo mkuu?Hiyo 470K unapata pixel moja matata ila itakua used au refurbished, ila ukienda kwa Xiaomi unapata midrange mpya.

Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.