ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

naona umepata jibu lile lile nililokuambia,teh teh teh
 
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!
best nimeipenda hii!!
 
Age is nothn wherever love exist! Mie nimeoana na mke wangu nimemzidi siku 25 tu! Tunapendana sana! Pia tumekuwa wachumba for 10 yrs!!!
Kulingana si tatizo kinachotakiwa mwanaume uwe kichwa kweli cha familia si upo upo tu hata kama umemzidi 5-10 yrs kama ni mwanaume usiyekuwa na uwezo wa kutatua matatizo na kuchukua maamuzi as a head of family mwanamke atakudharau tu! ( simaanishi kwamba uchukue maamuzi bila kumshirikisha mke). Cha msingi kichwa cha mwanamme kichaji zaidi ya mwanamke ili mke akuadmire kila siku!
Pia mambo flani uwe na uwezo wa kumpa kiasi atakacho, full stop!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mmmhhh!! hongereni!! hii piia imetulia!! akili kumkichwa!!
 
me machale yashancheza princess enny kafall kwa same age mwenzie ndo mana anakandamizia hapohapo[joke]

Ila in real sense atleast mwanababa awe kidogo kanizidi bt isiwe sana mana waweza jikuta watembea na babamzaz. Bt sio mbaya kwa watu wenye umri kuanzia 35 kulingana bt sio hawa 20 somthing hapa kutakua hakuna kitu
hahahhahah!! beibe nasty usinfurahshe best!! kuna mtu tumebishana sana about this so nkaona bora niulize wana chitchat nione mtazamo wao!! khaa!! mi nataka jibabu!! linlee kama mjukuu!!
 
Last edited by a moderator:
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!
HAHAHa BHAAAAAS....
 
Hapa utawajua tu wale walioolewa na wadogo zao, na wale waliooa dada zao.

Ni vyema mwanaume akamzidi mkewe umri japo miaka kadhaa.
 
Hapa utawajua tu wale walioolewa na wadogo zao, na wale waliooa dada zao.

Ni vyema mwanaume akamzidi mkewe umri japo miaka kadhaa.
hahahah!! we Asulo acha ugomv!! yan mtu aolewe na mdogo wake!! hahahha!! but nimependa hapo kwnye blue!!
 
Last edited by a moderator:
Dada mi jg kanipita mnoo tuu but akuu twajilia vyetu vinono bt idnt support sana kama mwanake akiwa mkubwa saaana kuliko mwanaume

Yah,
kiukweli na kiuhalisia inabidi mwanamke awe na umri chini ya mwanamme.
Japo vijana wa cku hzi wanataka kutembea na 'mama zao'
halafu baadae waje kusema umri sio inshu.
But all in all,
Mwanamke shurti mwanaume akupite umri kidogo.
 
people say love doesnt care about age, but the facts is that, our intest,the way of thinking etc, all of them have some influences in our relationship(love), Nkirud kwenye topic kama ni mwanaume uwe na dem/mke uliyemzid na kama ni mwanamke uwe na mme anayekuzid, why so? It is because biologically women grow fast than men so wanazeeka mapema pia, on social law man is the head of family so he must be mentally matured to handle all family issues

Nakubaliana na wewe kabisa!!!
 
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!

thx wangu kwa kuwa nawe umeona kuwa umri ni minamba tu...jianaume linaweza kuwa kubwa(kama lile toto la aliyekuwa Waziri Mkuu enzi za Mwinyi, sijui linaitwa Wille) halafu upstairs lipo so inferior
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom