Ipi njia sahihi ya kutunza bettery

Ford89

Senior Member
Jul 31, 2011
128
15
natanguliza shukrani
wengine husema kwamba ikifika 100% una unplug power the unatumia mpaka ikiisha ndo unacharge tena,pia nilimuona jamaa flan yeye akisha charge anatoa bettr ktk computer na kisha anatumia direct,wengine hata kama betr ikijaa yeye anaendelea kuicha ikiwa inajicharge huku anaendelea kutumia......nikitaka betr yangu iwe na maisha marefu kidogo....nitumie njia gani?
 
Nadhani Njia nzuri ni kutochomoa power supply hata kama battery full. Iyo ndo njia nmekua nkitumia. but sometyms inategemeana na aina ya laptop eg dell, hp, acer etc. lakini kama ni mtumiaji wa kawaida i recommend uplug in tu hata kama imejaa. kama unaitumia mda mrefuuu unaweza toa battery ukawa unatumia direct but sidhani ka hii imekaa njema sana. Ila kuunplug after battery ikijaa then kuiacha idischarge tena mara kwa mara sio njia nzuri hata kidogo. nimeandika haraka haraka but ni mtazamo wangu. Wataalam zaidi watatujuza.
 
Hata mimi mtazamo wangu ni huu. Ikijaa unplug, endelea kutumia kuepuka ku-charge na ku-discharge at the same time ambako kuna punguza maisha ya betry. Pia kama una kazi ya muda mrefu, toa betry na utumie umeme moja kwa moja.
 
njia nzuri siku zote ni ku unplug pale inapojaa na kutumia battery peke yake mpaka inapopungua kisha kucharge tena...ni kama simu tu kwa mfano mrahisi...jaribu kutumia simu yako mara kwa mara huku ukiwa unacharge uone kama itamaliza hata mwezi...
 
may be
 
laptop nying zina auto turn off charging system ambayo yenyewe automaticaly batt ikijaa inadisconnect from charging kwa kutumia inbuilt switchng transistors ambazo zinafanya monitoring ktk charging systm ya laptops kwa hiyo wala huna haja ya sijui unplug mara sijui utoe batt huo wote ni uharibifu tumia tu kama kawaida chamno vi2 vya kuzingatia ni kuhakikisha pale unapo fanya kazi ngumu au nzito ambayo itafanya computer iwe very busy comp yako iwe connected to power na km unatizama muvies kupita cd drve au dvd drive pia hakikisha comp ipo plaged direct to power hata kama batt ipo full ki2 kingine epuka kutumia batt hadi inaisha kabisaaaa hadi inazima yenyewe pia nihatari kwa maisha ya battry pia power fractuation wakati inacharge nalo ni tatizo kwa batt, lingine kutumia unspecified charger hasa hizi zinazo uzwa madukan ambazo sio ariginal (maltipapasi charger) nazo ni tatizo kwa batt life coz zinatoutiana curent na watts na out put voltage zinakuwa tofauti ivo pia linakuwa tatizo sababu nyingine ni kutumia comp huku cooling holes zikiwa zimezibwa mfano kuweka kwenye mapaja au kitandan hasa kwa zile ambazo cooling zipo chini hii kusababisha joto kali ambalo pia huathiri batt kutokana aina ya materials au madin inayo tumika kutengeneza rechable battries hizo ni baadhi amabzo ni muhimu zaidi.
 
pc nayotumia nilipewa akati battery ikiwa safi kabisa kwaajili ya kuipenda na kuover protect ikiwa full naunplug charger mpaka ikireta warning labda 5 percent remain ndo na plug tena matokeo yake nimeua battery kabisa inapelekea ikiwa idol nikiiunplug inakaa 2 or 3 minutes inazima ikiwa inafanya kazi huzima direct aftr unplug kwaiyo jifunzeni jamani
 
LOOOK said it well, lisifanyike kosa kufananisha batt ya simu na laptop. Hata kama imejaa, iache plugged as long as unaitumia. Tusijifanye innovators kuchomoa batt na kutumia ac power moja kwa moja, kuna siku itakula kimoja.Just make sure kwenye power options hutumii sana high perfomance, rather stick to standard, au power saver kulingana na unachofanya.Furthermore, kwa wale ambao laptop zao hazina tofauti na desktop, [kwa maana kwamba hazihifadhi umeme], reset batt yako kwa kuifreeze. Siku 3-5. Then baada ya hapo ihamishie sehemu ya kawaida kwenye friji mpaka idefrost, then hamishia kwenye room temperature mpaka itakapotulia. Hakikisha imekauka. Then weka kwenye laptop, charge until full, jaribu uone tofauti, kisha ulete feedback, ntawawekea namba ya empesa soon, teh teh!
 
Last edited by a moderator:

....mmmmmh!!!huu ushauri wako kama wa nguvu za giza!!!!
 
What do you loose by trying? Mi nimeshafanya kwa kimeo changu cha zamani as an experiment, NEC, win xp 128 ram, 5gb hdd. And it worked, cha msingi fungia batt yako kwenye mfuko wa plastiki. Na sio kwamba itakufunikwa na barafu all over by the way, no.Sasa vp, nikupe na namba ya empesa kabisa au nisubirisubiri kwanza.
 
hiyo itakuwa ngumu ila hiyo namba ya empesa nipe!!
 
What do you loose by trying? Mi nimeshafanya kwa kimeo changu cha zamani as an experiment, NEC, win xp 128 ram, 5gb hdd. And it worked, cha msingi fungia batt yako kwenye mfuko wa plastiki. Na sio kwamba itakufunikwa na barafu all over by the way, no.Sasa vp, nikupe na namba ya empesa kabisa au nisubirisubiri kwanza.

Ebu taja hyo process inafanya nini katka battery?
 
pc nayotumia nilipewa akati battery ikiwa safi kabisa kwaajili ya kuipenda na kuover protect ikiwa full naunplug charger mpaka ikireta warning labda 5 percent remain ndo na plug tena matokeo yake nimeua battery kabisa inapelekea ikiwa idol nikiiunplug inakaa 2 or 3 minutes inazima ikiwa inafanya kazi huzima direct aftr unplug kwaiyo jifunzeni jamani

Hahahahaaha ........... dah! sio kwamba nakucheka hapana, i did the same thing as u, sahv laptop yangu kama tv vile!! umeme ukikata nayo inazima au ukizima kwnye switch ya umeme nayo inazima on the spot.
 
What do you loose by trying? Mi nimeshafanya kwa kimeo changu cha zamani as an experiment, NEC, win xp 128 ram, 5gb hdd. And it worked, cha msingi fungia batt yako kwenye mfuko wa plastiki. Na sio kwamba itakufunikwa na barafu all over by the way, no.Sasa vp, nikupe na namba ya empesa kabisa au nisubirisubiri kwanza.

zakuambiwa .........
 
Ok, wakuu, King Kong III, Maprosoo, na wengineo.
Scientifically I am not going to prove, since sina ujuzi huo kwa sana, ila I got this from my friend, 'mtundu kwenye electronics', na ni kwamba sio kwa battery aina zote. sijawahi jaribu alkaline, but NiMH inakubali. just as batt ya laptop. (sishauri uweke inahifadhi pawa bado, weka iliyokwisha kabisa, kiasi kwamba ukichomoa ac pwer cord na mashine inazima) Personally nimefanya kwa kilaptop (kimeo) changu kwa majaribio, and it worked, though si kwa asilimia zote.

na pia kutafuta backup wa maelezo yangu, soma how to make batteries last.., hii ni link ya ehow. Na hii ni community page ya discovery. kama kuna mwanafizikia anayeweza kutupa scientific process tafadhali ajitokeze, but I think this will do for now, sijatoa hii kitu from nowhere.

Saivi sitozi empesa tena, natoza LIKE tu! teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaha ........... dah! sio kwamba nakucheka hapana, i did the same thing as u, sahv laptop yangu kama tv vile!! umeme ukikata nayo inazima au ukizima kwnye switch ya umeme nayo inazima on the spot.

yani inaboa sana mkuu ni kama desktop yakufunua du
 
Ok, wakuu, King Kong III, Maprosoo, na wengineo.
Scientifically I am not going to prove, since sina ujuzi huo kwa sana, ila I got this from my friend, 'mtundu kwenye electronics', na ni kwamba sio kwa battery aina zote. sijawahi jaribu alkaline, but NiMH inakubali. just as batt ya laptop. (sishauri uweke inahifadhi pawa bado, weka iliyokwisha kabisa, kiasi kwamba ukichomoa ac pwer cord na mashine inazima) Personally nimefanya kwa kilaptop (kimeo) changu kwa majaribio, and it worked, though si kwa asilimia zote.

na pia kutafuta backup wa maelezo yangu, soma how to make batteries last.., hii ni link ya ehow. Na hii ni community page ya discovery. kama kuna mwanafizikia anayeweza kutupa scientific process tafadhali ajitokeze, but I think this will do for now, sijatoa hii kitu from nowhere.

Saivi sitozi empesa tena, natoza LIKE tu! teh teh.

duh we mkali ila natumia simu nimeshindwa ku 'like
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom