Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
Hello,
Nahitaji kununua video projector (Home Theatre Projector) ambayo inawezakunifaa kwa matumizi ya nyumbani nikiwa Tanzania. Kuna anayejua brand ambayo spare parts (bulb n.k) na mafundi wanapatikana Tanzania? Brand zinazotawala amazon.com ni Optoma, Epson na BenQ.
Natanguliza shukrani