Ipi ni siredi iliyokuboa 2011??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Mmezungumzia siredi bomba mi nakuja kuwauliza ile iliyoboa zaidi,najua hapa kutakua na ugumu usiogope taja tu!Hakuna atakae kughadafi!!Mi yangu nitataja mwisho wa siredi hii usiku wa kuamkia mwaka mpya!
 
Ile thread ya Invisible juu ya Shimbo kuweka shs trillion 3 Afrika Kusini. Iliniuma sana baada ya kugundua kuwa ni uzushi na unafiki mkubwa. Hakuna cha trillion 3 wala nini.
 
Thread ile ya watoto ambao wapo abused (kulawitiwa),
Thread ya habari ya Gaddaffi ilokua inaonesha picha
walivoomuingiza chuma sehemu za siri,NA Thread ilonizushia kifo....
(Sikuiona BUT ile tu habari ilini BOA na KUNIUMIZA!
 
Mbona hizo thread zote ulianzisha wewe mwenyewe sasa inakuwaje tena zitokee kukuboa. Au wewe mwenzetu neno kuboa unalitafsirije?
 
Thread ile ya watoto ambao wapo abused (kulawitiwa),
Thread ya habari ya Gaddaffi ilokua inaonesha picha
walivoomuingiza chuma sehemu za siri,NA Thread ilonizushia kifo....
(Sikuiona BUT ile tu habari ilini BOA na KUNIUMIZA!
Hata mimi sikuziona hizo threads, thanks God...
 
mi zenye vichwa vya habari vinavyoashiria kuniboa huwa sizifungui mwisho wa siku siboreki
 
Ile thread ya Invisible juu ya Shimbo kuweka shs trillion 3 Afrika Kusini. Iliniuma sana baada ya kugundua kuwa ni uzushi na unafiki mkubwa. Hakuna cha trillion 3 wala nini.

ulitegemea mafioso wa ccm wazikabidhishe? Ile ni joint venture ya wakuu wetu hapa bongo, so dont hate the player, hate the game
 
Hata mimi sikuziona hizo threads, thanks God...

Heri yako we ambae hukuiona ile thread ya kuzushiwa kifo!!
Ilinidisturb sana as nilibaki njia panda........NIAMINI au NISIAMINIi?? ( I hate even portray this)!!!
Thread ya Kaizer yenyewe nilichelewa kuiona coz kule huwa sitembelei mara kwa mara!!
Huo mchezo mchafu.........na unaboa to the maximum, let alone the way alivokuwa ameandika mwenyewe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom