Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

Kama unazo zote mbili Sasa hivi Hebu jaribu game LA ps2 ama Nintendo wii kwenye simu zote mbili Kisha post matokeo hapa.
S8+ ilikuwaga mwamba sana mwaka juzi saivi hamna kitu aisee. Saivi A51, A71, M51 ndio zipo moto. M51 inanipa raha kwenye battery. Naona jamaa wameweka battery ya tablet kwenye simu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
M51 na A71 ndio zina cpu kali (Snapdragon 730) lakini hio exynos ya A51 bado haijafikia level za SD 835.
 
Snapdragon 835 ni most efficient soc ya flagship, natumia xz1 compact ina 2700mah tu na napata hadi 10hrs on screen time. Angalia hata Gsmarena benchmark ya battery s8+ ipo juu.

Suala LA overheat simu yako ilikuwa mpya ama refurb?

Let's say mtu a nataka kucheza games utamshauri A51 over s8+?
Kumbuka region yetu huku tunapata s8+ ya exynos 8895 sio snapdragon 835.

Pia xz1 compact yako ina display ndogo (4.6 inches) na ni 720p wakat s8+ ina 1440p 6.2 inches display na s8+ ina 3500mah. Tofaut kubwa sana hapo. Na tangia wa update s8+ kwenda android 9.0 with oneui battery life ilipungua kuliko ilivyokua 8.0

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Sawa bin sahawia mkuu....kwaiyo kwa bei iyo iyo ya 650k simu gani unaweza pata ambayo hevvy weight apps kidogo chip set snapdragon na super amoled kioo
Kwa amoled inabidi ucheze na Samsung
Kuna A70 (snapdragon 675), S9 (bora hii kuliko s8+), Xiaomi Mi A3, Nokia 7.2 (haina amoled), mi 10 lite, Redmi note 9s (sd 720g)

Zisizokua na Snapdragon ila zitarun apps na games vizuri tu:
A51, Redmi note 9, redmi note 8 pro, A31

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka region yetu huku tunapata s8+ ya exynos 8895 sio snapdragon 835.

Pia xz1 compact yako ina display ndogo (4.6 inches) na ni 720p wakat s8+ ina 1440p 6.2 inches display na s8+ ina 3500mah. Tofaut kubwa sana hapo. Na tangia wa update s8+ kwenda android 9.0 with oneui battery life ilipungua kuliko ilivyokua 8.0

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hii gsmarena battery test ya s8+
gsmarena_001.jpg

Na hii ya A51
gsmarena_243.jpg

S8+ ina battery dogo na resolution Kubwa kuliko A51 na still ina score nzuri zaidi inaonesha ni jinsi gani ilivyo efficient.

Na sio tu snapdragon version even exynos ya s8 ni efficient. Gsmarena waliriview exynos.

Simu ngapi even 2020 zina 720p na mabetri makubwa lakini hazifiki 10hr ost? Sembuse kwa 2700mah?
 
Score zao ziko based on software version iliyokuja na simu ilikua ni android 8.0 Experience UI, waka update to OneUI android 9 na battery haikua hvo. Hzo zote pia ni synthetic benchmarks ambazo zinakuaga tofaut na real life usage. Wewe hautaongea na simu kwa masaa 20+.

Ina real world usage A51 inaiacha S8 plus kwenye battery.
Pitia thread mbili hzi, moja from XDA (s8+) na nyingine ni reddit (a51) alaf angalia screen time watu wanazopata kwenye simu hzo mbili

Yoyote mwenye s8 plus hapa sshv atakuambia kuwa hajawahi vuka 6 hrs 30min screen on time. Ukiangalia kwenye thread ya s8+ watu wanapata 3 to 5 hrs screen on time. Huo ndio uhalisia, hzo synthetic scores za gsmarena sio realistic

Kwa logic yako Sasa tutumie simu iliotumika mwaka mmoja vs brand new? Yaani s8 uisubiri mwaka mzima pengine ishakua abused hapo na battery health pengine ni 80% kushuka halafu ulinganishe na simu mpya ambayo battery health ni 100% huoni unakuwa biased hapo na aliepima zote zilipokuwa mpya ndio yupo sahihi?

Na Tuache reputable site kama gsmarena tufate source uchwara kweli?

Nakupa na source nyengine

Ndio mwenye s8 ambaye ameitumia miaka 3 inawezekana kweli isifike huo muda na ni jambo LA kawaida, ila akibadili na kuweka battery jipya itakaa na charge kuliko A51 ama kulingana, Hali ya kuwa una Display kali, battery dogo na performance kubwa. Ukumbuke s8 ni simu ya 2017.
 
Angalia tarehe kwenye ile thread. Ni 2017
Screenshot_20201220-162522.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naweza post Picha za random people kibao wanaosema wanapata 10hr ost. For serious mkuu tutumie random people online?

Mimi nina uwezo wa kumaliza charge ndani ya masaa 2 hata kama simu ina 10k mah, bila kutumia standard tutakesha hapa.
Mm nilikuambia nishawah miliki hzo simu mbili na A51 ilikua ni bora zaid kwenye charge. Kma kuna wengine wanapata 10hrs SOT bila custom kernels or custom ROMs hongera yao. Ila sijawah ona stock mtu akipata hyo number. Na nilikuaga active sana kwenye subreddit ya S8+ na telgram groups za s8/s8+ users.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Chief-Mkwawa S8+ ni simu ya kizamani kwa sasa. Ni kama kukomaa na sifa za Tecno Phantoms.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ila still ni capable, Hebu tuichambue in deep.

1. Storage yake imetengenezwa na memory za Ufs 2.0 ama 2.1, midrange Chache zina Ufs even hio A51 ina Ufs 2.0

2. Display yake sio tu ni super Amoled Bali ni quad HD na ina Hdr 10, Hakuna midrange yoyote ile yenye display kama hii even 2020.

3. SD 835 ama exynos 8895 still Rules compare na midrange. Mfano exynos ina Mali G71 lakini Mp20 hizi ni kama equivalent ya core 20, midrange nyingi including A51 ina mp3 tu.

Adreno 540 inapambana na Adreno 620 kwenye sd 765 ambayo ni top 2020 cpu ya midrange na simu zake zinauzwa 1m+

4. S8 ina gigabit lte, subiri usiku na halotel unapita 100mbps unadownload vitu kwa haraka zaidi, for comparison A51 ni Cat 12 ni mpaka 600mbps tu.

5. S8 ni water proof, ina dex, na tech kibao za kisasa kuliko midrange za Sasa.
 
Inategemea mkuu na matumizi na uelewa wako wa simu.

Kama una matumizi ya kawaida na unatafuta simu ya kukaa nayo bila matatizo go for A51 au subiria A52 ambayo itakuwa nzuri zaidi inatoka anytime.

Kama unataka simu yenye nguvu kwa bei reasonable na una uelewa mkubwa wa simu, unacheza heavy games ama apps nzito nzito s8+ ni simu nzuri.
Chief s8+ Og inacheza kwenye bei gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom