Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

Snapdragon 835 ni most efficient soc ya flagship, natumia xz1 compact ina 2700mah tu na napata hadi 10hrs on screen time. Angalia hata Gsmarena benchmark ya battery s8+ ipo juu.

Suala LA overheat simu yako ilikuwa mpya ama refurb?

Let's say mtu a nataka kucheza games utamshauri A51 over s8+?
Hongera chief simu kali sana hiyo xz1 soon natamani niitumie.Kwenye upande wa speed hakuna simu za wakati wake hata hizi za sasa inaweza kuikuta kamera kali sana battery mah 2700 lakini system yake ina manage power kuliko hata battery ya mah 5000
 
Habari wadau...naombeni kuuliza; kwa mfanano wa bei na kwa kuzingatia wakati uliopo yaani soko la kisasa, ni simu ipi ambayo utaenjoy nayo kati ya hizo 2 yaani Samsung galaxy s8+ au Samsung galaxy a51 na sababu.

Wataalamu naomba elimu maana nasikia Android sijui 10 Mara 9 ufafanuzi kidogo.
Kwa ushauri wangu s8 plus ni flagship na a51 super midrange hivyo always flagship ni flagship nenda hata YouTube check comparison between hizo mbili utaona s8 plus ni more premium more powerful kuliko a51 japo a51 pia ni simu nzuri ila haijazidi sifa za s8 plus. KUPANDA ANDROID VERSION SIO MUHIMU SANA ANGALIA UWEZO WA SIMU HATA ITEL INA ANDROID 10 LAKINI HAZIFIKII UWEZO WA NOTE 2 ANDROID 4.4.2
 
Duh! Hatari sana. Ivi ile oppo a 93 VIP jaman sio nzuri kweli?
 
Nimeicheki sio mbaya sana ila bora uchukue a51. Processor yake ni mediatek helio P95 sajajua ubora wake japo ina ram gb 8 .Ni bora a51 ina specification nzuri zaidi kila idara
 
OK na hata bei nadhan itachangamka... Shukrani wadau kwa elimu hii maana kama somo leo nimelipata
Sababu itakuwa na version ya 5g na 4g nina Imani version ya 4g bei itakuwa ni ile ile.

SD 720 xiaomi anaiweka simu za laki 4.
 
Nimepata darasa mujarabu hapa
Wataalumu wanapo dadafua mambo basi sie vilaza wa tech tunaokota okota humu humu
Tukite sasa mtaani tunabisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujuaji mwingi kumbe tunamnukuu chief mkwawa
 
unakwenda kkoo unakutana na muuzaji amekaa kindezi ndezi unambabaisha mpaka anashusha bei[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].
 
Kwenye ukaaji wa charge s8+ hamna kitu kwa A51. Nimeshatumia zote, A51 inakupa 7 hrs to 9 hrs screen on time wakati s8+ ikijitahidi inakupa 5 hrs screen on time since full charge. Na s8+ inakua ya moto kichizi ukiwa unaitumia. Siwezi shauri mtu yoyote kuchukua s8+ juu ya A51

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
Inategemea na company gani na simu yako ilianza na android ngap.

Kwa samsung a series na m zote zinapata 2 years of OS updates. Ina maana kma simu yako ilikuja na android 9 itapata 10 na 11.

Kwa samsung za S series, Fold, flip, na Note series zinapata 3 years kunanzia s10/note 10. Kwa mfano s10 ilikuja na android 9, ikaenda 10 na inatakiwa kupata 11 na 12 huko mbeleni (miaka mi3)

Kwa simu za google zote nazo ni miaka mi3

Nokia, Motorola, Xiaomi, Oppo ni miaka mi2

Brand nyingi zinafanya miaka mi3 kwa flagship zao na miaka mi2 kwa simu za bei ya kawaida mpk chini

Akina Tecno, Infinix na itel wao kwakweli sahau kuhusu kupanda android version. Watakupa security updates basi. Simu chache sana za tecno zinapandishwa android version sikuhz na mara nyingi inakua ni moja tu.

Kwa huku bongo ukitaka simu ya bei rahisi itakayopanda android version huko mbeleni ni Nokia, Xiaomi na Samsung A series

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kuna madini umeorodhesha hapa ni kweli lakin kuna nyingine ni pumba mkuu,.
Tecno , infinix kuanzia Android 8 .1.0 zinauwezo kwa kupata update ya android version kwa njia ya custom recovery .
Bahati mbaya nikwamba imekuwa mda kidogo lakin mwezi wa 5 mwaka huu nilifanya update ya android version kutoka android 8.1.0 to Android 9 pie kwenye infinix hot8 lite.

Kuna baadhi ya mambo ambayo simu za kuanzia android 7 kushuka chin hazina na kuanzia android 8 na kuendelea zinavyo.
Katika software kuna kitu kinaitwa "Project treble" hii ni uwezo ambao simu inakuwa inserted ili iweze kupokea update ya android version yoyote ile ,. Kwahyo kama simu yako ya infinix au Tecno (MTK devices) haina project treble bas itakuwa ngum kwa simu hiyo kuweza kuupdate android version.
 
kuipa simu update kwa njia ya custom siyo njia rasmi ya kiofisi hiyo,ni kama kuforce kingi.na moja ya matatizo yanayoweza kutokea ni baadhi ya feature muhimu kugoma kufanya kazi,au software ki
uwa unstable inacrash wakati fulani.
 
Naomba kujuzwa hiyo njia halali,.

Maana mm nimejibu kulingana na comment ya jamaa kusema kwamba totaly haziwezi kupokea update.

Kitu kingine nikwamba kila kitu katika custom recovery kuna hatua zakufuata unapoitumia endapo utaenda wrong ndio kuna shida lakin pasi na hivyo jambo linaenea salama kabisa mkuu.
 
Kuna madini umeorodhesha hapa ni kweli lakin kuna nyingine ni pumba mkuu,.
Tecno , infinix kuanzia Android 8 .1.0 zinauwezo kwa kupata update ya android version kwa njia ya custom recovery .
Bahati mbaya nikwamba imekuwa mda kidogo lakin mwezi wa 5 mwaka huu nilifanya update ya android version kutoka android 8.1.0 to Android 9 pie kwenye infinix hot8 lite.

Kuna baadhi ya mambo ambayo simu za kuanzia android 7 kushuka chin hazina na kuanzia android 8 na kuendelea zinavyo.
Katika software kuna kitu kinaitwa "Project treble" hii ni uwezo ambao simu inakuwa inserted ili iweze kupokea update ya android version yoyote ile ,. Kwahyo kama simu yako ya infinix au Tecno (MTK devices) haina project treble bas itakuwa ngum kwa simu hiyo kuweza kuupdate android version.
Naongelea official updates sio custom rom na GSI. Hakuna pumba niliyoongea hapo.

Unafikiri unaweza mwambia regular consumer aka flash GSI? Anajua ni kitu gani? Anajua ni bugs gani atakutana nazo? Akibrick simu anajua jinsi ya kurecover? Nimecheza sana na project treble na hadi leo bado nacheza nayo sana ila MTK karibia zote vendor zake ni majanga. Unakutana na bugs kibao ukitumia GSI.

Nishaflash gsi kwenye tecno camon x, camon 11, camon 12, infinx hot 8, hot 9, note 5 na zote hizi unakutana na bugs ambazo huwezi mpa regular consumer ambaye hajui haya mambo akatumia.

Madini na magroup yapo Telegram kwa anayetaka kupambana nayo
Screenshot_20201221-093911.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujuzwa hiyo njia halali,.

Maana mm nimejibu kulingana na comment ya jamaa kusema kwamba totaly haziwezi kupokea update.

Kitu kingine nikwamba kila kitu katika custom recovery kuna hatua zakufuata unapoitumia endapo utaenda wrong ndio kuna shida lakin pasi na hivyo jambo linaenea salama kabisa mkuu.
Hii ndio njia halali
Screenshot_20201221-095023.jpg

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujuzwa hiyo njia halali,.

Maana mm nimejibu kulingana na comment ya jamaa kusema kwamba totaly haziwezi kupokea update.

Kitu kingine nikwamba kila kitu katika custom recovery kuna hatua zakufuata unapoitumia endapo utaenda wrong ndio kuna shida lakin pasi na hivyo jambo linaenea salama kabisa mkuu.
njia rasmi ni kupitia officiall apdate kutoka kwa kampuni husika,mwaka huu samsung wanatoa simu watakazozipa update, na ambazo hawazipi.ukiweka android 10 kwenye s4 kupitia hiyo custom,lazima itazingua baadhi ya vitu.
 
Kwenye ukaaji wa charge s8+ hamna kitu kwa A51. Nimeshatumia zote, A51 inakupa 7 hrs to 9 hrs screen on time wakati s8+ ikijitahidi inakupa 5 hrs screen on time since full charge. Na s8+ inakua ya moto kichizi ukiwa unaitumia. Siwezi shauri mtu yoyote kuchukua s8+ juu ya A51

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Uwezo wa simu kukaa na chaji inategemea na aina ya processing unity ambayo device imekuwa inserted.

Processing unity zenyewe ni;

ARM , hii imetengenezwa nakuwa na sifa ya low consumption ya chaji .simu nyingi za infinix na A serious zote zina ARM processor ndio maana unaona zinakaa na chaji muda mrefu

ARM64 , hii haitofautiani sana na ARM na baadhi ya features zinaendana ila ARM zinakuwa na uwezo zaid wa kutunza chaji kuliko ARM64 ,. lakin katika utendaji kazi wa simu ARM64 zinakuwa fast zaid.

X86 , hii ndio processing unity kubwa zaid katika simu ambayo inaifanya simu kuwa na kasi sana lakini shida nikwamba hazina urafiki na matumizi mazuri ya charge ,. Yaani zinatumia chaji kwa haraka san maana inadisplay features zenye kwality kubwa kwahyo kutunza chajin kwa muda mrefu ningumu.

NB, kumbuka kuwa A series zote zilitengenezwa kwa dhumuni la samsung kupata soko kubwa Africa maana walikuwa na soko dogo kwasababu ya bei ghali ya S series na Note series . Ndio maana hata hiyo A51 unairinganisha na s8 au 7 maana kuanzia s9 ni tatizo .
 
Mengi ulioandika si kweli.

S8 ni flagship ya karibuni still ina performance kubwa kushinda midrange soc kama Exynos 9611 ya A51.

Na Adreno 540 ya s8+ ina nguvu Mara 3 hadi Mara 4 ya Mali G72 kwenye 9611
View attachment 1655038

Pia ukaaji chaji s8+ na A51 ni kama Sawa tu, s8+ ikiwa na advantage kidogo.

Kifupi s8+ ni bora karibia kila idara, Tatizo ni Kwamba tu kibongo bongo hutaipata nzuri, watakushikisha refurb.
Mkuu sorry! Unatumia simu gani hii.!?
 
Back
Top Bottom