Nipo njema... wivu umekwisha?Mambo baba naniliu..
Hmmm....Mmhh!jana na leo tu?nasubiri nifanye kitu alafu nione reaction yake
Uncle bhanaHabari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
huyo mkwe wangu kumbe ana wivu kiasi hicho.Hamna Uncle huyo kijana amenikwaza alivyokutusi hapo juu ,ila nimefurahi na wewe ulivyorudisha makomboraTeh!uncle unacheka kama mazuri vile

Mliachana?Duh! Nilishawahi kuwa na msichana mmoja ana wivu balaa!
Siku nakutana nae Posta Mpya nipo na msichana wa IFM si anataka kulianzisha bila kufahamu kwanini tulikuwa pamoja! Nikamwambia jaribu nikung'oe meno mbele za watu... akaogopa!
Kituko ni pale cjui nani alimwambia taarifa nusu nusu kuhusu ku-divert calls!! Sasa badala ya ku-divert kwenye simu yangu akatumia simu yake ku-divert ili eti awe anasikiliza simu zangu!! Duh! Usiku wa ile siku ilikuwa ni full kupokea simu za wanaume waliokuwa wanampigia!
Though alikuwa very faithful lakini nikapatia sababu hapo hapo! Hakuna kitu nisicho-entertain kama usumbufu kwenye mapenzi!!
To what extent hili lina ukweli?Mapenzi ya dhati yakizidi huonekana usumbufu kuna wadada wenzio wanatafuta hata mtu wa kumuuliza upo wap aliobaki nao wanagegeda tu....
Kwel aisee me mwenyew nikikosea najofanyaga na wivu kinyamaamwenye upendo Hana wivu !!!...
MTU mwenye wivu mkali hua niwakuogopa !!! Anatumia Wivu huo kama njia ya kujilinda yeye.
Basi msamehe tu uncleAna bahati kuna kitu kinaitwa BAN humu na too bad sikihitaji kwa muda huu...angeyapata zaidi ya aliyoyatoa
Haikuwa kuachana kama kuzima kwa kibatari lakini nilimwambia wazi kwamba I was completely unhappy na yale mapenzi... na kwa kweli nilikuwa unhappy!! Kwahiyo taratibu taratibu nikaanza kuhamisha aina ya mazungumzo yetu toka kwenye kimapenzi zaidi hadi kirafiki!Mliachana?
AhahahaaaaaaKama wewe huwa unatoa usidhani wote wanatoa
Ma
Ma
E