popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,362
Tumeshakupoteza kijana mimi na huyo demu tulianza kutumia ARV mwaka 2013 pole sana ndugu yanguOh! Me dume huyo dem unayemshushia lawana hua ninamkaza![]()
![]()
Tumeshakupoteza kijana mimi na huyo demu tulianza kutumia ARV mwaka 2013 pole sana ndugu yanguOh! Me dume huyo dem unayemshushia lawana hua ninamkaza![]()
![]()
Hahahaaaa ww inabidi upigwe ban umeniacha hoi sana,unauzoefu mzuri sana aiseeMapenzi ya dhati yakizidi huonekana usumbufu kuna wadada wenzio wanatafuta hata mtu wa kumuuliza upo wap aliobaki nao wanagegeda tu....
Habari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
Asee mbona povu tena? au na wewe unatoa sifuri saba moja saba?heshimu nyuzi za watu !muone huna hata haya
ndio yule wa kipindi kile uliyeshindwa kumpotezea?Najitahidi kuwa kama anavyotaka,huwa sichepuki...nampenda,sasa sijui huwa anaona nini haswa hadi anakuwa hivi
na we ukali umeanza lini mkuu?heshimu nyuzi za watu !muone huna hata haya
na we ukali umeanza lini mkuu?
Asee mbona povu tena? au na wewe unatoa sifuri saba moja saba?
Mimi kaka yako niliyepitia haya mambo miaka kama 18 iliyopita ningekupa ushauri wa bure kabisaaaa lakini wewe bwana mdogo kichwa cha motooo sana.Habari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
HeyNdio yule yule