Kwanza coding na hacking inakera ndio maana wanaotoboa ni wachache, wenye uvumilivu
Just imagine una deal na kitu hakina picha wala rangi- Mr Robot[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni ubao mweupe na maandishi meusi
Sidhani kama aina ya pc itakuwa kigezo
Programmer wengi wanatumia macbook ila bei zake kwa upande wa huku kwetu ndio changamoto kwa wengi
Nnakwambia hivi kwa nikiwa na maana.
Sidhani kama kuna limitation wanaweka kwenye kuinstall vitu kama atom, pycharm, hyper, node, Oracle vM, Git bash, GitHub nk, Tumia Pc yoyote cha msingi kuwa na moyo wa kuendelea mbele[emoji28][emoji28][emoji28]