Ipi iliyokuvutia kati 1,2,3

kwenye viatu hakuna hata kimoja kimenivutia...si cha wema wala kajala wala aunt
 
Hakuna hata mmoja kwani wote ni vibonge nyaya...hawavutii wala!
 
Cha maukwelii kbs kama zilivyo ndivyo hivyo hivyo.Huyo no 3 miguu inagongana sana usafiri F.
 
namba 3,alivosimama na hivyo viatu vyake utafikiri ng'ombe kajiandaa kukamuliwa maziwa
 
None of the above!

Sababu: Magoti yote yanaonekana yametumika sana.
Mtazamo: Mkorogo + Michezo ya Tigo and D'style imechezeka sana hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…