political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 291
- 705
WADAU Salamu sana kwenu.
Awali nilifanya biashara kama proprietor na Kwa kuwa nilizihudumia taasisi za serikali basi nililazimika kununua EFD machine.
Changamoto ni kwamba unaweza ku supply bidhaa za 10m lakini katika hiyo faida Yako ni 2m ,mwisho wa mwaka unajikuta mashine Ina Mauzo ya 100m na TRA wanaotoza Kodi hiyo 100m Wala siyo kwenye faida, sasa hayo ni maumivu maana Kodi inaweza zidi faida Yako, nilipowauliza wakasema wao wanaangalia Mauzo Yako.
Baadae nikaona nifungue company limited, hii nayo inazonchangamoto kadhaa, kwanza lazima umtafute professional accountant hata kama hujafanya biashara huo mwaka Laini lazima ufile return, na usipofanya unakutana na penalty za kutosha, ku file biashara waasibu wanataka laki tano. Wakati mwingine umefanya biashara ila faida ni kidogo.
Je ni kipi Bora Kati ya kufanya kama sole proprietor au Company limited?