iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Inawezekana mkuu kwa wataalamu, angalia utube utaona, hata kuweka signal light inawezekana
Mkuu usiamini kila unachojiona youtube

Hilo jambo ni swala la hardware
Ni sawa na kuibadili Flash ya Gb mbli kua Gb nne
Labda uongeze hardware
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…