iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Natafuta iphone 4G mbovu. Nyeupe.. Natafuta nyeupe.
Ambayo ipo locked au hata imepasuka kioo but 4G . Sio 4s
 
Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
Si i pod hio sasa?
 
Jaman msaaada kama mshawqi kutana na tatizo kama langu mm cmu yangu nikijaza inakuwa full nikitumia had 59% inazima niki plug in inawaka ikiwa na 59% tena je battery ndo tatizo au
Nina 5s ina hili tatizo pia.
 
Me ninayo iPhone 4s nauza kwa atakayejitokeza ni yangu kbs but ilikuja kwa makosa nilipoagiza yaan haina sehemu ya kukaa line hivyo unatumia wifi tu. Anaehitaji hata spare zake aje inbox tufanye biashara
Hii ni iPod mkuu.
 
Mkuu naomba unijuze unafanya vipi au kama kuna link ya ku download GB Whatsapp kwa iphone
..
Mkuu nimeipata kwenye website after searching......

Download GBWhatsapp for IOS Devices (Working)

Lakini uki download ni file extensions ya Android .apk sijui inakuwaje au kuna kitu cha kufanya after downloading?
Msaada tafadhali



 
Iphone 5s mpya inachemka wakati wa kucharge , then ina dry faster battery.
 
Reactions: EGF
Wazee mi napenda sana kusikiliza music,sasa kwenye android ni rahisi sana kuweka nyimbo unazozipenda,kwa kuzidownload,sasa basi,mi nataka nivite 6s siku sio nyingi,je kuweka music kwenye ios imekaaje?

Tumia itunes ingia youtube angalia how to sync music in iphone then kuna maelezo kama una kingereza cha makinika bas uza simu
 
Je bongo inatumika maana nmejaribu ku connect lkn cjafanikiwa msaada plz

Why not nenda settings kule ukaset pia unaetaka ku face time na ku imessage nae lazma awe ameunganisha hzo services ninge do nawe ila noooo
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…