Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Hv z2 na z1 inatofauti gan?mashine ile ile bodi tu labda
Acha uchizi wewe kutumia z1 sio tiketi ya kukosoa xperia zote FYI, katika z series zote hakuna simu iliotengenezwa kwa kiwango kama z2 na pia ndio simu ya kwanza kuwekwa feature ya 4K in a trilluminous display..Ina kioo angavu mno na haiko oversaturated kama amoled displays..Pia ndio simu ya sony yenye uwezo wa kuhimili kukaa na charge for a full day regardless matumizi unayofanya!

Kwa camera xperia z2 inamnyoosha iphone mapema mno, fanya comparison na iphone iliokuwa released same year af utaelewa ninachokwambia!
 
Mkuu unatakiwa utumie hii Nokia lumia 950 XL alaf urudi kuja kuhakiki thread yako kuhusu iphone.......nadhani unaona hapo mega pixels ngapi zimeandikwa.....

Ogopa simu mpaka watu wanatumia kufanya shooting kabisa.

Iyo cm nmeelewa sana hapo naona iphone anaachwa gap kwa tz unaeza pata wap n how much
 
Iphone hakuna kitu........camera hovyo sana hasa usiku......
Hii nazungumzia iPhone 6s......bure kabisa......
Samsung zipo poa sana........

Unadanganya mchana kweupe peeee..hyo itakua made in carifonia and assembled in carifonia
 
Mbona hapo pia hauna rangi yako halisi
 
Mkuu unatakiwa utumie hii Nokia lumia 950 XL alaf urudi kuja kuhakiki thread yako kuhusu iphone.......nadhani unaona hapo mega pixels ngapi zimeandikwa.....

Ogopa simu mpaka watu wanatumia kufanya shooting kabisa.

Nakuona hapo unavyong'ara mwenyewe hongera kwa lumia 950 XL but hyo simu apo ni ya lumia 1020
 
Mi nadhani mahaba yanawatesa ndiyo maana mnasema lumia, sony n.k ni best kwa camera. Kwangu iphone 6s plus camera yake ni best... Flash ya camera ya mbele bado hizo simu zingine hazijafikia quality hiyo. R.I.P STEVE JOBS
 
Waterproof walianza kuitoa Sony Xperia hata hao Samsung ni technology mpya kwao ila wafuatilie Sony walianza nayo zaman
Simu gani ya kwanza ya Sony Xperia kuwa waterproof na ni toleo la mwaka gani? Samsung ni Galaxy S4 Active, msipende kuwa mnaandika vitu msivyoelewa.
 
Tecno
 
Kila nikienda kununua simu kwenye maduka ya simu hapa nchini, wauzaji wanaanza kunishawishi kwa kunielezea ubora wa camera, wakati mie nataka simu nzuri kwa mawasiliano. Picha ni component ya mwisho kwenye mahitaji yangu hasa ya simu. Kwa nini camera inakuwa priotised kiasi hicho?
 
Mkuu hizi ulizozitaja zimekaa kikazi zaidi, ila kama kwa matumizi ya kawaida iphone wapo vizuri sana kwenye camera
una maana gani unaposema zimekaa kikazi zaidi na matumizi ya kawaida, kila mtu anahitaji ubora uliopindukia
 
[emoji106]
 
uzi huu haujakufaa.
 
una maana gani unaposema zimekaa kikazi zaidi na matumizi ya kawaida, kila mtu anahitaji ubora uliopindukia
Ninaposema zimekaa kikazi namaanisha ni simu zenye kamera mbadala wa dslr Camera ambazo hutumiwa kwa ajili ya kutengeneza picha zenye resolution kubwa kama mabango ya matangazo makubwa bila kupoteza ubora wa picha na ninaposema matumizi ya kawaida ni kamera kwa ajili ya kuchukua picha za kupost Instagram au Facebook au kuweka kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…