Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.
Overall redmi note 8 ni simu nzuri zaidi kushinda iphone 7, sema angalia na wewe mwenyewe unapenda android ama ios.
Unaweka gcam ya simu yako? Simu yako ipo rooted ama sio rooted? Model ya hio s8+ ni ipi?Natumia S8+ kila nikiweka GCam inagoma funguka nifanyaje?
SM-G9950 hapa kwenye kuwa rooted nadhani imefanyiwa hivyo maana nimewahi wauliza Samsung juu ya kadhia fulani wakajibu hivi...Unaweka gcam ya simu yako? Simu yako ipo rooted ama sio rooted? Model ya hio s8+ ni ipi?
Mkuu angalia tena hio model umeiandika kwa usahihi?SM-G9950 hapa kwenye kuwa rooted nadhani imefanyiwa hivyo maana nimewahi wauliza Samsung juu ya kadhia fulani wakajibu hivi...View attachment 1254766
| MAIN CAMERA | |
|---|---|
| Five | 108 MP, f/1.7, 25mm (wide), 1/1.33", 0.8µm, PDAF, Laser AF, OIS 5 MP (upscaled to 8MP), f/2.0, (telephoto), 1.0µm, PDAF, Laser AF, OIS, 5x optical zoom 12 MP, f/2.0, 50mm (telephoto), 1/2.55", 1.4µm, Dual Pixel PDAF, Laser AF, 2x optical zoom 20 MP, f/2.2, 13mm (ultrawide), 1/2.8", 1.0µm, Laser AF 2 MP, f/2.4, 1/5", 1.75µm (dedicated macro camera) |
| Features | Quad-LED dual-tone flash, HDR |
| Video | 2160p@30fps, 1080p@30/60/120/240fps, 720p@960fps |
MAIN CAMERA Five 108 MP, f/1.7, 25mm (wide), 1/1.33", 0.8µm, PDAF, Laser AF, OIS
5 MP (upscaled to 8MP), f/2.0, (telephoto), 1.0µm, PDAF, Laser AF, OIS, 5x optical zoom
12 MP, f/2.0, 50mm (telephoto), 1/2.55", 1.4µm, Dual Pixel PDAF, Laser AF, 2x optical zoom
20 MP, f/2.2, 13mm (ultrawide), 1/2.8", 1.0µm, Laser AF
2 MP, f/2.4, 1/5", 1.75µm (dedicated macro camera)Features Quad-LED dual-tone flash, HDR Video 2160p@30fps, 1080p@30/60/120/240fps, 720p@960fps
Hizi camera zenye quadbayer tumesha discuss humu unagawanya kwa 4 inamaana 108/4 unapata mp halisi 27, na pia mp sio quality ya picha.CC9 Pro
Kuna simu inayozidi hapo?
Mkuu angalia tena hio model umeiandika kwa usahihi?
Hii ya mwaka 2016 lakini kwa sasa kuna mabadiliko makubwa[emoji23][emoji23][emoji23]megapixel sio uzuri wa picha, kama unatafuta camera nzuri sahau kabisa brand za kichina
Naona mi note 10/Pro hatari japo ni Quad Bayer ila ni ya pili kule DxomarkXenon watanishawishi, ila soon Xiaomi nae atakuja na camera nzuri, wote wamehamishia R&D zao Finland.
Bado saanaOPPO f11 pro 48megapixel
Xiaomi siku hizi ana technology za Nokia za camera yeye na Huawei na Hata R&D zao kwenye camera wamehamishia Finland, Nafkiri hii Note 10 ni product ya kwanza toka kule, kuna improvement siku hizi.Hii ya mwaka 2016 lakini kwa sasa kuna mabadiliko makubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Dxomark wapigaji tu usiwaamini sana kwenye hio benchmark yao. Usipowapa hela ama kushirikiana nao wanakurate vibaya.Naona mi note 10/Pro hatari japo ni Quad Bayer ila ni ya pili kule Dxomark
Mkuu hapa zimekaaje kwa upande wa camera tu?? Maana zote wametumia 48Mp Ila moja ni quad na nyingine doube camera??Ni kweli mkuu, redmi note 8 ni choice nzuri zaidi. Na kama unapata redmi note 7 pro kwa bei nzuri ni bora zaidi.
Ipi nzuri ya kuangalia nje ya hao?? Maana naangaliaga uchambuzi wao sanaDxomark wapigaji tu usiwaamini sana kwenye hio benchmark yao. Usipowapa hela ama kushirikiana nao wanakurate vibaya.
Mkuu kwenye camera hasa simu ya kichina angalia pia processor (soc), soc inavyokuwa kubwa na nzuri ndio ambavyo ina uwezo pia wa kuhandle camera vizuri na hata kukubali port za simu nyengine.Mkuu hapa zimekaaje kwa upande wa camera tu?? Maana zote wametumia 48Mp Ila moja ni quad na nyingine doube camera??
Usitumie benchmarks bali angalia watu wanaopiga picha halisi, Gsmarena wana tool yao sema haipo vizuri kivile ila ni reliable kama unaangalia details tu. Wanapiga picha noti ya malikia ama coin ama kitu maarufu chochote ili hata wewe nyumbani uweze kufanya comparison. Kwa note 10 unaweza angalia zaidi hapa walivyofanya.Ipi nzuri ya kuangalia nje ya hao?? Maana naangaliaga uchambuzi wao sana