iPhone Fold itagharimu hadi Million 6 hivi za Kitanzania!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,808
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple.
IMG_7027.webp

Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.

Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka.

Kazi ipo.
 
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple. View attachment 3558834

Lini wanazindua nijichange mapema ?
 
Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple. View attachment 3558834
Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.

Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka.

Kazi ipo.
Hiyo bado ni bei ndogo nikilinganisha na simu za gharama zilizopo duniani huko
 
Back
Top Bottom