iPhone Fold itagharimu hadi Million 6 hivi za Kitanzania!

iPhone Fold itagharimu hadi Million 6 hivi za Kitanzania!

sasa ukifa unahisi nitabaki na nani😪 we jikakamue nipate simu ya kuingilia tiktok na kupigia picha
Nalifanyia kazi hilo mamaa

Mradi wangu wa kuuza mabao Unaendelea vzr, mpaka kesho jioni ntakuwa nmesafirisha mapipa mawili ya mabao kwenda UK na France niliyokusanya kwa wiki moja tuu.
 
fanya jambo tupate ifoni forteeeeeen 🤗
Huwa nkiwa na washkaji zangu wa kutoka NJE YA NCHI…
Huwa wanashangaa saana maisha ya watanzania…
Hasa kwa jinsi tunahusudu iPhones
Huwa wananitania saana … unapata mtu anaomba Vocha Au anapanda daladala ila ana iPhone 15 kuendelea…
Yaani kwa wenzetu… kumiliki iphone zina Class flani…
Infact simu za iphones hazihuziki saNa kama huku…
Kumiliki Tecno,Infinix,Oppo au Pixel kitu cha kawaida saana kwa nchi zinazotuzunguka🤣😂😅
 
Fold phone ni kati ya simu ambazo hazinivutii hata kidogo na hata sielewi kwa nini, mara kumi ni we na simu ya kawaida na pia niwe na tablet/ipad
 
Fold phone ni kati ya simu ambazo hazinivutii hata kidogo na hata sielewi kwa nini, mara kumi ni we na simu ya kawaida na pia niwe na tablet/ipad
Nilipata kuishika fold 7 mkononi kwa dakika kadhaa. Bibie kuna settings zilikuwa zinamchanganya, Mkuu Samsung Fold 7 ni MOTO MWINGINE KABISA ULE.
 
Back
Top Bottom