iPhone 5S vs. Galaxy S4: Which phone should you buy?

iPhone 5S vs. Galaxy S4: Which phone should you buy?

Depends on what you do with it.... I have GS4 I9505 and its now 2.5months and I haven't felt disappointed with it.
I used to have iphone 4s but the GS4 feels just great!

Mkuu katika hizo mbili ni ipi ilikaa na chaji muda mrefu zaidi
 
haha ni raha iliyoje?

Ukiskia Quad tu basi raaha, hebu iweke kwenye benchmark hiyo S4 na 5s utapata majibu! Wewe unafikiri kuwa na ma-core mengi ndiyo speed? iPhone 5s ni jembe lingine, hao Samsung naona wanajaza mafeature mengi ambayo mtu na akili zake hana muda wa kuyatumia na anaona yanaboa. Android market kumejaa takataka za kila aina, ukisearch app moja zinakuja zaidi ya elfu 3, mpaka ukapate inayofaa utakuwa umedownload madudu kibao yasiyo na mpango. Apple is the way guys, simple and practical!
 
Iphone ipo juu bwana na ndiyo simu ya kiume. Sumsung ni simu za kike sababu zinakaa kwenye mabegi. Iphone inafit kotekote.
 
Na ndio hao wanaokuja na negative comments kuhusu Iphone, kumbe tatizo ni wao wenyewe. lakini kwa mtuyoyote ambae anauelewa na mfuatilaji wa mambo ya smartphone hawezi sifia android mbele ya iphone, vinginevyo hajui anachoongea.

Kama ni MP3 song nitumie via whatsapp freshhhh tu namimi naiskia! Problem solved
Au unataka nyimbo adi I play kwenye playlist ndo uta injoy zaid
 
we jamaa ni balaa. nakukubali. asante sana
 
Mkuu Iphone clones zipo sana tena kama iphone 4 ilikuwa na 1:1 clone ambayo ilikuwa bomba sana.Ukumbuke utengenezaji wa clones or replicas na wachina ulipata umaarufu zaidi baada ya kuanza kutengeneza Iphone 3 Clones.Na kuanzia hapo makampuni kibao kama CECT nk wamekuwa wakitengeneza iphone clones nzuri tu na zinauzwa hadi ulaya na marekani.

Mkuu acha masihara bana iphone 4 clone 1:1?
Iphone clone zote zinatumia Android kisha wanazuga na themes za iOs, ukiwa na hiyo clone ni sawa na mtu yeyote mwenye simu ya android

Ukizungumzia iPhone ujue unazungumzia iOs, sasa iphone isiyo na iOs itawezaje kuwa clone ya 1:1?
 
Mkuu acha masihara bana iphone 4 clone 1:1?
Iphone clone zote zinatumia Android kisha wanazuga na themes za iOs, ukiwa na hiyo clone ni sawa na mtu yeyote mwenye simu ya android

Ukizungumzia iPhone ujue unazungumzia iOs, sasa iphone isiyo na iOs itawezaje kuwa clone ya 1:1?

Dah, clone ya 1:1 iPhone? The Spit atakuwa anatania! Ni costly sana kutengeneza clone 1:1 ya iPhone, na mtengenezaji itamuwia vigumu kuuza. Clone za iPhone ziko nyingi sana, lakini ukiishika tu unajua its a clone. Kurun iOS kwenye clone si jambo la mchezo.
 
Last edited by a moderator:
naomba mniambie smartphone inayokaa na charge kwa muda mrefu. kuanzia masaa 72 kwenda mbele

Smartphones za ukwlei zenye specs kubwa haiwezi kukaa na charge muda wote huo, at least not for now! Kama unasafiri sana nakushauri uwe na nokia ya tochi pembeni, pia unakuwa na tablet moja na power bank, kwishnei!
 
Back
Top Bottom