Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,921
- 3,250
Nilichogundua tunapenda sana vya bure. Sawa Iphone inahitaji care sana na store yake inacost. Pia kutuma nyimbo na files zinasumbua. But sio kwamba quality yake ni ndogo, quality yake ipo juu. Unaweza ukasikiliza mziki na iPhone kutoka store, na kwa quality kubwa sio kama hizi tunazozidownload kwenye sites za kawaida. Wimbo unakuta una lyrics, cover page ya album/song, 360 beat quality na una details zote. Wana ubora sema kwa mtu wa kuzoea vya free kwenye net inamcost. Ila zipo process za kuweza kuihack store na ID yako.