Watunamajumba , magari then hakuna mwenye iPhone ya macho matatu. Tena unabisha leteni hizo picha tuone

Niliivua cava ni IPhone 13
Wee jamaa kumbe mshamba sana...Iphone haikaguliwi kwa kuvua cava wewe!
Baada ya kuvua cava uliona inachapa kwamba ni iphone 13?
Halafu kutumia kigezo kwamba huyo yuko vizuri kiuchumi hakuwezi kuprove kwamba atanunua kitu genuine, ishu ana ujuzi wa kutambua kwamba kitu flani ni Og ama la!
Yupo dada mmoja alikuw anahitaji kununua sumsung S9 wakati zinatoka, so kwa sababu hakuwa anazijua kiundani akaingia dukani wakamshikisha famba bila kujua kwa kulipia bei sawa na Og, tukafuatilia aliyemshikisha akarudisha mpunga!
Sasa kwa hizo Iphone 13 wapo wadada humu mtaani wanazo na wanajiweza kiuchumi ila walishikishwa mafamba na wajanja kwa kuwa wengi hawajui kukakugua specifications kama ulivyo wewe ambaye unatoa cava.
Dodoma its freeLocation??
Weekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule.
Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.
Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.
Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.
Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.
Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Jipeni moya na matoi yenuHajui kitu huyo unaweza jua ni iPhone ipi pia kwa kuangalia Notch size halafu unaingia settings Ku confirm
Weka picha acha manenoWee jamaa kumbe mshamba sana...Iphone haikaguliwi kwa kuvua cava wewe!
Baada ya kuvua cava uliona inachapa kwamba ni iphone 13?
Halafu kutumia kigezo kwamba huyo yuko vizuri kiuchumi hakuwezi kuprove kwamba atanunua kitu genuine, ishu ana ujuzi wa kutambua kwamba kitu flani ni Og ama la!
Yupo dada mmoja alikuw anahitaji kununua sumsung S9 wakati zinatoka, so kwa sababu hakuwa anazijua kiundani akaingia dukani wakamshikisha famba bila kujua kwa kulipia bei sawa na Og, tukafuatilia aliyemshikisha akarudisha mpunga!
Sasa kwa hizo Iphone 13 wapo wadada humu mtaani wanazo na wanajiweza kiuchumi ila walishikishwa mafamba na wajanja kwa kuwa wengi hawajui kukakugua specifications kama ulivyo wewe ambaye unatoa cava.
Hahaha nikajua upo kb hapaaDodoma its free
wachache sana wanazijua hizi simu kwa hapa tz..Mzee una Find X3 Pro? Aisee Oppo wana bei ila simu nzuri sana
Ila muanzisha uzi kweli kilaza serious iPhone 13 unaifananisha na note 8

Kwamba kupata decent pictures kwa iphone ni hadi uichokonoe chokonoe ? Sio default camera settings?Mzee utakua hujui setting za iphone pole sana, iphone kama huwezi itumia itakutesa tuachie watabe
Bro weka picha yako tuone, sio ya kutumiwaSasa ww unaona hizo picha mbili sawa?
Weka picha acha maneno
Hii ni Samsung note8Hii ni Iphone haina macho matatu (11 plain) na hapo ni usiku wakati nakulaView attachment 2114827
Nipo Ilazo hapa, nipe location.Dodoma its free
Hii ni Samsung note8View attachment 2114835