T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,294
- 44,753
Mzee una Find X3 Pro? Aisee Oppo wana bei ila simu nzuri sanawekeni picha acheni ubishi,na mimi nitaweka ya mchina wangu,ya OPPO FIND X3 PRO...kama sijawatoa wote knockout,,,
View attachment 2114311
nimekwambia nina picha zake tu

