IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Hata upewe camera nzuri kiasi gani kama hujui kupiga picha vizuri bas itatoka mbaya Tu,lakini mtu mwenye ujuzi mzuri WA kupiga picha hata akiwa na camera mbaya atapiga picha nzuri...Other factors remain constant.
Lame excuse
 
Hapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii
Weka picha hapa ulopiga na iPhone

Yangu hii hapa
JPEG_20220210_113228_3355259386132110418.jpg
 
Mtu kama sio mpiga picha huwezi jua simu gani bora. Hakuna mzoefu wa picha utamwambia iPhone 13 inazidiwa na Note 8 akielewa. Alafu picha zinapigwa na mzoefu wa simu yake, wewe hapo unayeulizwa umejuaje ni iPhone ukasema umevua cover ndio ukajua huwezi nishawishi kuwa hiyo simu unaielewa kuitumia. Ulikuwa unaishangaa tu

Tatizo la iPhone ni low light basi. Nalo linaonekana kwenye comparison ya flagships za same year
Challenge this
JPEG_20220210_113943_6346110165905275691.jpg
 
Umeleta hadithi nyingi sana humu hapa ungeleta na ushahidi wa picha watu wapime unachokisema
 
Wewe umekuja kutumbia umeiona na ukapiga picha uka conclude ni zero… na sisi ambao zimeshapita mikononi mwetu either ziwe za kuazima kwa dk kadhaa kama ilivyokuwa kwako au za ndugu zetu, muhimu ni kuwa camera yake tunaijua so uwache kutudanganya.
Sis I did a comparison by pointing to the the same object not shooting a photo
 
Au tuseme you are not a photogenic, sababu mimi nilishakuwa na tecno spark 3 kuna kapicha nilikpatia angle aisee kalikuwa bomba utasema sio tecno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom