42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Hii pro max umeitaja wewe. Hapa tunazungumzia Iphone 13.Pro max 13 inayo matatu makubwa
Hii pro max umeitaja wewe. Hapa tunazungumzia Iphone 13.Pro max 13 inayo matatu makubwa
Mkuu kwani tumekuja kupima iPhone yangu na simu yako!? Unadai iPhone 13 na note 8 yako ndo kipimo ulichotumia weka picha za hizo simu zote watu waamue, isitoshe mi iPhone yangu ni 7 na ni old fashioned kwenye suala la camera siwezi hata kuja hapa nikasema nina simu yenye camera kali

Yeye kaweka picha ya usiku, wewe unaweka ya mchana. Sijui unatokea kijiji ganiHii ni Samsung note8View attachment 2114835
Kijiji cha Nkonze DodomaYeye kaweka picha ya usiku, wewe unaweka ya mchana. Sijui unatokea kijiji gani
Iwe 13 au 13 pro story is the sameIphone 13 huijui....
Hakuna Iphone 13 yenye macho matatu.
Mnajitetea saanaHakuna cha settings wala nini by default iphone inatakiwa itoe picha kali hazina pro mode, huyu mshamba kakutana na copy anakuja kupiga kelele huku. Yaani iphone 13 ni ya kuifananisha na note 8 kweli!!!!

Mhhhhhasira ya kazi gani.. iPhone 13, iPhone 12 zote nimekuwa nazo kwa nyakati tofauti na nimezitumia
😀😀😀😀😀 binti kiziwiMhhhh
Kijiji cha Nkonze DodomaView attachment 2115219

Cimematic mode haijaanzia kwenye iphone.... Hapa ndio iSheep mnafeli...smart & well informed person hasingeweza kuandika alichokiandika huyu ni kwamba either anainjoy ubishi au ndio mshamba kupindukia
iphone 13 ni simu ya kwanza yenye cinematic mode still bado unalinganisha na huo utumbo kuna vitu hadi vinatia hasira eti![]()
Cimematic mode haijaanzia kwenye iphone.... Hapa ndio iSheep mnafeli...
Usihisi kila kitu kipya anachokuja nacho iphone ye ndo wa kwanza.
Huawei wana Cinematic mode toka 2019. Tena Cinematic ya 4k.
Siyo hiyo Cinematic ya Iphone 13 ya 1080p maana wameona wakiweka ya 4k simu zao zinaoverheat.
Hapo sijataja simu zingine kibao.
Nadhani wengi hatuelewi picha nzuri ni ipi na ina features zipi, tulijadili hili halafu tuendelee.
Huku bongo kwetu kuna mambo sana, mtu anaenda photoshoot anapiga picha analetewa picha ngozi yake inewekwa rangi ya orange halafu anakenua meno kuwa picha zake ni nzuri!!!!

Eti hii ndio picha kali kwa wabongo. Ukishambabua mbongo hasa mdada, ukamuweka blue eyes na blonde characters eti ndio picha nzuri. Ujinga mwingi kuona Mobeto ni mweupe kuliko Nicki Minaj, ukimuona kwenye clip afadhali ndio real details zinakuwepoNadhani wengi hatuelewi picha nzuri ni ipi na ina features zipi, tulijadili hili halafu tuendelee.
Huku bongo kwetu kuna mambo sana, mtu anaenda photoshoot anapiga picha analetewa picha ngozi yake inewekwa rangi ya orange halafu anakenua meno kuwa picha zake ni nzuri!!!!
Huu uchafu gani mzee. Wakulima wa vitunguu mbona mnaleta usumbufu. Nakupa hii na bei ya simu sio hata nusu ya iPhone 13Kijiji cha Nkonze DodomaView attachment 2115219
Picha nzuri ina apect nyingiNadhani wengi hatuelewi picha nzuri ni ipi na ina features zipi, tulijadili hili halafu tuendelee.
Huku bongo kwetu kuna mambo sana, mtu anaenda photoshoot anapiga picha analetewa picha ngozi yake inewekwa rangi ya orange halafu anakenua meno kuwa picha zake ni nzuri!!!!
5. Object Isolation- siyo unakuta tena kuna part ya object imekuwa blurred.Nadhani wengi hatuelewi picha nzuri ni ipi na ina features zipi, tulijadili hili halafu tuendelee.
Huku bongo kwetu kuna mambo sana, mtu anaenda photoshoot anapiga picha analetewa picha ngozi yake inewekwa rangi ya orange halafu anakenua meno kuwa picha zake ni nzuri!!!!
Hii Huawei P30 pro ambayo imetoka early 2019 ina 4K cinematicsawa probably walianza nayo huawei ila i am sure haikuwa efficient kama hii ya iPhone maana ingekuwa vzr si wange brag about