IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

b90d5cfa-65bd-47ad-81f0-6d17d307a3e2.jpg

e90f2505-7410-43b9-8e1b-dab6f5a94138.jpg


Nimepiga kwa kutumia iPhone 11. Hapo ni Pangani - Tanga
 
Nawaza sana kuhusu bidhaa itakuwa original kweli? Wasiwasi wangu upo hapo, bei zao zinavutia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa wanakupa warranty, Nadhani ikiwa famba watakubadilishia tu, Pia samsung copy unaweza kuifaham kwa kuiangalia kwa dakka chache na kuipekua unajua tu hi OV au laa, Hasa ukifungua camera, ukaipiga picha ila saut inayotoka, kwa kubonyeza code na mambo mengineyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom