Nafikiria mno s10 plus.Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu![]()
Nafikiria mno s10 plus.Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu![]()
Mkuu zimefika s¬e20+ hukooNote 9 je au s10 plus?
Hiyo ipo nyema sana, halafu ukiiweka Gcam mod itakuwa poa sana, kimuonekano ipo bomba sana, Used kkoo unaipata kwa bei ndoto tu,Nafikiria mno s10 plus.
Usikasirike as if unamiliki macho3YAANI ULICHOONGEA HAPA NDIO UNAONYESHA KUWA BONGE LA MSHAMBA HIYO PICHA MOJA CAMERA NI MBILI TOFAUTI KILA SIMU INACHUKUA IMAGE TOFAUTI, WEWE JAMAA NI MNYASA SIJAONA AARGH!


mi sio mnyasa ni mtanganyika.Ni nzuri ila vioo vyake very delicate kinaweza weka ufa bila hata kuiangusha, ukiweka mfukoni hakikisha hakuna kitu kigumu humuNafikiria mno s10 plus.
YAANI ULICHOONGEA HAPA NDIO UNAONYESHA KUWA BONGE LA MSHAMBA HIYO PICHA MOJA CAMERA NI MBILI TOFAUTI KILA SIMU INACHUKUA IMAGE TOFAUTI, WEWE JAMAA NI MNYASA SIJAONA AARGH!




Acha bhnaUsikasirike as if unamiliki macho3mi sio mnyasa ni mtanganyika.
Punguza makasiriko hapa we pass time don't take things serious



Kushoto Google pixel 3a xl, kulia iphone Xr. Kama unavyoona Gpixel anapeta hapoHapa ni nani na nani? Huyu wa kushoto ametisha.
Huwa inaendanaga na tatizo katika mfumo wa ubongo so lipe umuhimu unaostahili, ukiona mada zinazokuboa zipite kimyakimya itasaidia saanaUnachoboa unaongea sana halafu you don’t know shit
by the way nna anger management issues, so i am working on it![]()


Huwa inaendanaga na tatizo katika mfumo wa ubongo so lipe umuhimu unaostahili, ukiona mada zinazokuboa zipite kimyakimya itasaidia saana![]()

Naona wanatoa na warranty ya miezi 6 mpaka mwaka kwa bei za laki 6 sijui 7 vileeee, zinakuwa ni nzuri kweli?Hiyo ipo nyema sana, halafu ukiiweka Gcam mod itakuwa poa sana, kimuonekano ipo bomba sana, Used kkoo unaipata kwa bei ndoto tu,
Hii ndo changamoto yake aiseeeNi nzuri ila vioo vyake very delicate kinaweza weka ufa bila hata kuiangusha, ukiweka mfukoni hakikisha hakuna kitu kigumu humu
Hii ni kwa simu za Samsung kuanzia S6 edge kwenda juu, halafu vioo vyake unanunua IphoneHii ndo changamoto yake aiseee
HahahahahaHii ni kwa simu za Samsung kuanzia S6 edge kwenda juu, halafu vioo vyake unanunua Iphone