IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

iPhone zaidi ya vile vi filter vya I miss you hawana lolote hata wakina infinix wanawachapa
 
Ona hii
20220217_184624.jpg
 
iSheep yoyote hawezi kunielewa.

Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.

Google Pixel 6 Pro

Samsung S22 Ultra

Realme X70 Pro Plus

Xiaomi mi 11 Ultra

Niendelee?.....

Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
s22 itoe hapo haipo league yoyote na hao wote wadogo zake.

weka s21
 
Tukisema camera bora hatuangalii picha tu si na videos pia, ndg yetu kikubwa tunaangalia consistency ya performance...call me isheep sawa ila huwez sema kuwa kitu fulan ni bora kwa kuzingatia criteria kadhaa na sio zote
 
sasa hapa ulitaka kuzungumzia kipi??

maana hiyo s21 ina camera bora kuizidi hiyo 13pro max,isipokuwa video tu.

kama utachukua vigezo vya jumla video sio jukumu la awali la msingi katika camera ya simu.
 
Pixels hizo si specs on paper mbona android wana hadi 108 Mp halafu hamna ajabu
sio kila android ina 108mp upupu,samsung anayo hii,na tunategemea kuweka kwenye iphone 15 maana zooming inaonekana ni jambo muhimu kuliko pale calfornia wanavyowaza.

maana hata reflesh rate ilionekana haina maana mpaka apple waliposhtuka baada ya kuiona kwa samsung.
 
iSheep yoyote hawezi kunielewa.

Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.

Google Pixel 6 Pro

Samsung S22 Ultra

Realme X70 Pro Plus

Xiaomi mi 11 Ultra

Niendelee?.....

Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
Uvi unaangaliaga side by side comparison kwel ww
 
iSheep yoyote hawezi kunielewa.

Iphone 13 Pro Max anafunikwa kwenye Category ya Picha na simu kibao.

Google Pixel 6 Pro

Samsung S22 Ultra

Realme X70 Pro Plus

Xiaomi mi 11 Ultra

Niendelee?.....

Yeye atashine tu kwenye Video. Ila hao wanyama hapo juu wote wanamfunika kwenye picha.
Acha wivu kaka, apo mpinzani pekee ni pixel ila hao wote ni bure, yani unaweka adi Xiaomi
Watu wengi wanaoziponda apple hawajawah zitumia
 
sio kila android ina 108mp upupu,samsung anayo hii,na tunategemea kuweka kwenye iphone 15 maana zooming inaonekana ni jambo muhimu kuliko pale calfornia wanavyowaza.

maana hata reflesh rate ilionekana haina maana mpaka apple waliposhtuka baada ya kuiona kwa samsung.
Acha zako, walioanza kutoa refresh rate kubwa kwa flagship ni oneplus 7 pro ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom