Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Ni ngumu kuja na sensible conclusion kati ya simu yenye miezi minne sokoni na nyingine ambayo haijafika mikononi kwa watu.Mkuu umetumia galaxy S10? Jee kwa alicholeta jana apple na kwa maoni yako Galaxy S10 plus vs iPhone 11 pro max yupi yupo better?
Kwa maoni yangu samsung ana well made phones nyingi tu in the market.
On paper, Galaxy S10 is the best ila kwenye user experience i think Inategemea na preference ya mtu kwenye hardware na software.
Binafsi sipendelei Android kabisa. So there is no way nikaipa nafasi S10.