Apple wamefanya kosa kwa kutosema ukweli kuwa wanapunguza perfomance speed kwenye new updates. Siamini kama alikuwa anafanya ivo ili kufanya watu wanunue toleo jipya. Maana kwa Apple tu, angeamua tu kama Samsung, baada ya 2 years hupati updates tena na watu wangeendelea kununua izo iphone.
Hoja yake Apple ina make sense, newer updates zinaathiri perfomance ya previous devices, ingawa mimi binafsi, hata sijanotice hio perfoamnce change (labda kwa sababu nimeacha matumizi mazito ya simu) lakini you cant deny it.
ingekuwa Apple wanataka ununue new device each year, trust me, wasingepunguza perfomance ya, wangeiacha tu ipige mzigo mpaka ikukere mwenyewe. Unafikiri ukiweka windows 10 kwenye computer la pentium 2 utatamani kukaa nayo? 😀
Kuhusu Mpango wa Apple kuforce developers kutotengeza new updates for old devices, labda kuna ukweli nyuma ya pazia, lakini kama ilivyo Android, iOS pia ina another side of the story, kina Cydia na wenzao, lakini hata wao sasa ivi hawajishuhulishi na simu kama iphon 4. mimi ninachoona kuwa kinafanya haya kutokea, ni ile status ambayo imejengeka kwa watu na kwa madevelopers, kuwa Apple devices ni premium devices na wana expect users kuchange phones frequently. But i believe hii trend itakwisha na watakaokuwa safe ni wenye iphone X na kuendelea.