iPhone 11... kuvunja rekodi?

elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,919
Points
2,000
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,919 2,000
Hata situmii iphone kwa sasa nimerudi zangu samsung A series nina ki a50 kinanifariji. Japo kuna kitu nammiss kwenye ios
Ndio faraja mnayojipa huku apple akiendelea kuachwa nyuma na makampuni yaliyoibuka hivi karibuni. Wakati Samsung, Oneplus, Honor, Huawei na wengine wakitoa display za maana na techmolojia ya maana nyie mnajifariji eti apple anatengeneza njia.

Kwa simu za jana hapo apple katengeneza njia gani? Camera 3 tayari ziko sokoni muda, wide angle camera ziko sokoni muda mrefu, night mode ziko sokoni muda mrefu, ni kitu gani apple sasa anaweza kuigwa? Yeye ataishia kuwauzia misimu ya teknolojia ya miaka 3 nyuma huku akiwapiga bei.
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,205
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,205 2,000

Kuna kuiga na kuiga kwa quality ya juu
Apple akiiga kitu chako kila kampuni duniani itataka kuiga
Na ni kampuni pekee inayojiamini wengine wanabangaiza tu, sipendi hili kampuni kutokana na bei zake na poor custermization ila ndo hvyo ndo linaloongoza technolojia duniani,
Hii yote inasaidiwa na iOS ambayo ni very light and fluid kuliko android, japo android ana catch up sikuiz kwa ufruidity
Watu wasiojua huangalia specs, na ndo makampuni mengi sikuiz ya android yanapowashikia watu, we simu inakuwa na megapixel 50 na mtu anajisifia akat kamera mbovu kama kasingiziwa, na hii yote ni kutokubalance kwa sensor na megapixel

Duniani kuna makampuni mengi ila apple linaigwa sana maana iphone ni tamu kutumia kuliko android yoyote ile na apple anauza simu za gharama tuu basii, akati makampuni mengine yanauza adi simu za mia mia na matolea kama 50 kwa mwaka na bado anashindana nazo

Kingine ni simu zake hazishuki bei kijinga, mfano mzr ni mwaka 2017 walitoa iphone X akat samsung walitoa s8
Ukiulizia hizo simu dukani leo hii samsung unakuta ata laki5 wakat iphone X bado bei yake ni above 1.5

S10 imetoka mwaka huu mwaka kesho januari utaipata kwa milion, hii ni kwasababu makampuni mengi ni ya android na kuna otter native nyingi sana

Binafsi natumia note8 na iphone 6 plain ila naona ka iphone kako consistence na ni katam mno kuliko note, na kabla ya note 8 nilikuwa na s9
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,205
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,205 2,000
Watu wengi msichojua ni kuwa on top of android kuna skins, na kila kampuni la android ina skins zake, inayotumia almost stock android ni pixel pekee, oneplus in android ni almost stock japo wameongezea vitu vichache ndo maana ni tam kuliko simu nyingine, samsung UI yake ni nzito sana ndo maana samsung si tam kutumia ukilinganisha na nyingine
Kama unataka sim ya android iliyo tam tumia oneplus au pixel japo pixel ina matatizo yake binafsi, so oneplus ndo good example

Sasa tukija kwa simu zetu hizi tecno zinatumia aina ya android ambayo imetengenezwa special kwa ajil ya sim za low class, japo zina kila kitu ila android wanayotumia ni inferior kulingana na wanazotumia makampuni makubwa

Af swala la updates za makampuni ya android, wengi wanaacha kuziupdate kwa mda mfupi maana kila update watayofanya kwao ni gharama sana kutengeneza skins za kila aina ya simu na unakuta kampuni lina matoleo kama 50 hivi
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,205
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,205 2,000
Now iphone kama tecno tu zimejazana kibao mtaani na bei yake utabaki kushangaa tu....
Nimenunua 6s plus kwa laki tatu
Kuna bei ya mtaani na bei ya kuuziwa kwasababu muuzaji alikuwa na emergency
Hiyo ni bei ya zari na dukani huwez kupata simu hyo kwa laki3
Kama unagoma nitafte nainunua kwa laki4
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,020
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,020 2,000
Watu wengi msichojua ni kuwa on top of android kuna skins, na kila kampuni la android ina skins zake, inayotumia almost stock android ni pixel pekee, oneplus in android ni almost stock japo wameongezea vitu vichache ndo maana ni tam kuliko simu nyingine, samsung UI yake ni nzito sana ndo maana samsung si tam kutumia ukilinganisha na nyingine
Kama unataka sim ya android iliyo tam tumia oneplus au pixel japo pixel ina matatizo yake binafsi, so oneplus ndo good example

Sasa tukija kwa simu zetu hizi tecno zinatumia aina ya android ambayo imetengenezwa special kwa ajil ya sim za low class, japo zina kila kitu ila android wanayotumia ni inferior kulingana na wanazotumia makampuni makubwa

Af swala la updates za makampuni ya android, wengi wanaacha kuziupdate kwa mda mfupi maana kila update watayofanya kwao ni gharama sana kutengeneza skins za kila aina ya simu na unakuta kampuni lina matoleo kama 50 hivi
Kuna simu kibao Hadi Tecno na infinix Zina stock Android, Nokia zote Zina stock, xiaomi A series Zina stock etc kifupi simu yoyote yenye Android one Ina stock Android.
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,205
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,205 2,000
Kuna simu kibao Hadi Tecno na infinix Zina stock Android, Nokia zote Zina stock, xiaomi A series Zina stock etc kifupi simu yoyote yenye Android one Ina stock Android.
Android one sio stock bro
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,031
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,031 2,000
Kuna kuiga na kuiga kwa quality ya juu
Apple akiiga kitu chako kila kampuni duniani itataka kuiga
Na ni kampuni pekee inayojiamini wengine wanabangaiza tu, sipendi hili kampuni kutokana na bei zake na poor custermization ila ndo hvyo ndo linaloongoza technolojia duniani,
Hii yote inasaidiwa na iOS ambayo ni very light and fluid kuliko android, japo android ana catch up sikuiz kwa ufruidity
Watu wasiojua huangalia specs, na ndo makampuni mengi sikuiz ya android yanapowashikia watu, we simu inakuwa na megapixel 50 na mtu anajisifia akat kamera mbovu kama kasingiziwa, na hii yote ni kutokubalance kwa sensor na megapixel

Duniani kuna makampuni mengi ila apple linaigwa sana maana iphone ni tamu kutumia kuliko android yoyote ile na apple anauza simu za gharama tuu basii, akati makampuni mengine yanauza adi simu za mia mia na matolea kama 50 kwa mwaka na bado anashindana nazo

Kingine ni simu zake hazishuki bei kijinga, mfano mzr ni mwaka 2017 walitoa iphone X akat samsung walitoa s8
Ukiulizia hizo simu dukani leo hii samsung unakuta ata laki5 wakat iphone X bado bei yake ni above 1.5

S10 imetoka mwaka huu mwaka kesho januari utaipata kwa milion, hii ni kwasababu makampuni mengi ni ya android na kuna otter native nyingi sana

Binafsi natumia note8 na iphone 6 plain ila naona ka iphone kako consistence na ni katam mno kuliko note, na kabla ya note 8 nilikuwa na s9
simu ya miaka miwili au mitatu nyuma bado ukomae kuinunua kwa milioni na nusu,ni kichaa isipokuwa mgonjwa hajui kama anaumwa.
 
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
914
Points
1,000
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
914 1,000

Apple inaingoza kwa teknolojia ipi?
Alafu acha kulinganisha os, hayo ni mawazo ya kijinga maana huwezi kusema ios ni fluid, imeijaribisha kwenye simu gani nje ya Iphone? Hizo ni ecosystem tofauti kabisa.

Linganisha Iphone kwenye hardware na simu nyingine. Kama Camera, Display, Chip, na mambo kama hayo.

Ni mtu mjinga tu anaeweza kuuziwa nyama na ng'ombe iliyochinjwa mwaka jana kwa bei ya nyama ya ng'ombe iliyochinjwa leo fresh tena hata bei ikawa juu zaidi na akajisifia.

Nimeshasema hapo juu kua sasa watumiaji wa iphone sio wapenzi tena bali sasa ni waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako basi ndicho sahihi hata kama unadanganywa.

Kwa taarifa yako wateja wa Apple sasa wengi wameanza kustuka janja ya apple kuwaibia, huko Marekani watu wengi wanahama Apple kwenda amdroid, mauzo ya apple yanashuka kila siku na juzi Tim Cook alienda kumbembeleza Trump aondoe vikwazo kwa simu zake kutoka China maana kama vikwazo vikiendelea Iphone zitakufa kabisa kwa sababu Android wameshika soko sana Marekani na ikiwa hali itaendelea hivi basi Apple atafilisika. Soma hii kutoka kwa wakala wa apple wakisema watu wanahama toka apple kwenda android.
screenshot_20190911-135547_chrome-jpg.1204634
 
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
914
Points
1,000
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
914 1,000
simu ya miaka miwili au mitatu nyuma bado ukomae kuinunua kwa milioni na nusu,ni kichaa isipokuwa mgonjwa hajui kama anaumwa.
Apple hupenda wateja mataahira kama hao iendelee kuwapiga.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,031
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,031 2,000
Apple hupenda wateja mataahira kama hao iendelee kuwapiga.
nilikuwa nasoma comment huko watu wamejaa upepo si kawaida.wanasema apple amefanya kuhamisha logo na kuishusha chini tofaut na inapokaa,ndio mabadiliko ya mwaka huu

imagine mtu anakwambia 4k display not worth these ela.
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
11,005
Points
2,000
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
11,005 2,000
Sikuuzi kamwe na sijawahi nunua simu dukani wakati mkononi zinauzwa laki tati tu......
Kuna bei ya mtaani na bei ya kuuziwa kwasababu muuzaji alikuwa na emergency
Hiyo ni bei ya zari na dukani huwez kupata simu hyo kwa laki3
Kama unagoma nitafte nainunua kwa laki4
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,253
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,253 2,000
Apple inaingoza kwa teknolojia ipi?
Alafu acha kulinganisha os, hayo ni mawazo ya kijinga maana huwezi kusema ios ni fluid, imeijaribisha kwenye simu gani nje ya Iphone? Hizo ni ecosystem tofauti kabisa.

Linganisha Iphone kwenye hardware na simu nyingine. Kama Camera, Display, Chip, na mambo kama hayo.

Ni mtu mjinga tu anaeweza kuuziwa nyama na ng'ombe iliyochinjwa mwaka jana kwa bei ya nyama ya ng'ombe iliyochinjwa leo fresh tena hata bei ikawa juu zaidi na akajisifia.

Nimeshasema hapo juu kua sasa watumiaji wa iphone sio wapenzi tena bali sasa ni waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako basi ndicho sahihi hata kama unadanganywa.

Kwa taarifa yako wateja wa Apple sasa wengi wameanza kustuka janja ya apple kuwaibia, huko Marekani watu wengi wanahama Apple kwenda amdroid, mauzo ya apple yanashuka kila siku na juzi Tim Cook alienda kumbembeleza Trump aondoe vikwazo kwa simu zake kutoka China maana kama vikwazo vikiendelea Iphone zitakufa kabisa kwa sababu Android wameshika soko sana Marekani na ikiwa hali itaendelea hivi basi Apple atafilisika. Soma hii kutoka kwa wakala wa apple wakisema watu wanahama toka apple kwenda android.
View attachment 1204634
Kushuka kwa mauzo ya iphone ni market saturation ya smartphone duniani na sio uchina tu.

Apple ni high end smartphone wanunuzi wake ni watu wanaojiweza kimfuko.

Smartphone market ya China ipo saturated, watu wanao nunua simu mpya kila mwaka inapungua.

Makampuni ya simu za android wana mid range na low end smartphones ambazo wamegeukia masoko ya 'emmerging markets' hata hapa Tanzania, wanunuzi wa Note au S series smartphone wanazidi kupungua. Watu wanahamia kwenye A series na chini ya hapo.

Ila pamoja na kutengeneza flagships pekee ila Apple yupo mbali sana kwenye mauzo na faida kuliko vile unataka kutuaminisha.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,253
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,253 2,000
Sikuuzi kamwe na sijawahi nunua simu dukani wakati mkononi zinauzwa laki tati tu......
Ndo kipato chako kilipofikia, kwanini ujilazimishe kununua simu ya 3M yenye warranty ukakimbilia simu ya 500K imeshatumika, imeangushwa na haina warranty.

Being poor is very expensive. You settle for whatever life gives you. You don't define your own destiny.
 
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Messages
2,392
Points
2,000
smigo4u

smigo4u

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2015
2,392 2,000
Smartphone iliyovunja record mpaka sasa ni TURING PHONE CADENZA nyingine sidhani kama.ipo
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,031
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,031 2,000
Ndo kipato chako kilipofikia, kwanini ujilazimishe kununua simu ya 3M yenye warranty ukakimbilia simu ya 500K imeshatumika, imeangushwa na haina warranty.

Being poor is very expensive. You settle for whatever life gives you. You don't define your own destiny.
dah mkuu,akinunua iphone 6s kwa mtu nawewe ukinunua dukani??apple wanawatofautishaje katika kusajiri id zenu??kuna kipengere cha kujaza umenunua shingapi??na bank statement?

nyinyi ndio mnanunua iphone ili muonekane mambo safi,ndio maana mnapobisha na ma geek mnajaa upepo mapema sana.
 
Forum statistics

Threads 1,336,421
Members 512,614
Posts 32,538,879
Top