iPhone 11... kuvunja rekodi?

2yrs ni miaka mingi sana kitechnologia.

ios 13 itakaa mpaka kwenye 6s yenye ram 2gb,ndio maana nikakuuliza 4gb za nini kwa wazee wa customization
Hao watu wanataka aitumie simu kama computer za work station. Ndio maana wakisikia simu ina 12GB RAM akili haikai sawa.
 
Ukichukua flagship ya samsung na apple za 2017 sasa hivi utastaajabu hiyo tofauti yake kwenye performance.

Resale value ya iphone imesimama, linganisha iphone ya 2015 na samsung ya huo mwaka sokoni kwenye mauzo.
 
Hao watu wanataka aitumie simu kama computer za work station. Ndio maana wakisikia simu ina 12GB RAM akili haikai sawa.
tunarudi pale pale,kwamba tulianza na ram 512mb.kwanini hatuku stick hapo?
 
Wapi umeshaona apple wanatangaza mambo ya RAM au Battery Life?
Mbona ukiingia kwenye website yao wameweka habari za Battery life, ila la ram hawashughuliki sana, wao ni processor ndio wanabrag sana
 
Ukichukua flagship ya samsung na apple za 2017 sasa hivi utastaajabu hiyo tofauti yake kwenye performance.

Resale value ya iphone imesimama, linganisha iphone ya 2015 na samsung ya huo mwaka sokoni kwenye mauzo.
sababu ni hizo update napo hamna tofauti ya maana.

2017 tulikuwa na s8 na iphone 8.tofauti ni kama dola 70 tu.
 
Mkuu kwa hio unataka kusema, kua ni heri pia kwa android zikawa zinapata updates kwa mda mref zaid
Smartphones market ipo kwenye saturation.

Watu wanaonunua device mpya kila mwaka ni wale wenye uwezo na hobby.

Ndio maana wenye smartphones wanataka update ya new OS kwenye old devices zao.

Kwanini ninunue galaxy s10 wakati s8 inafanya vizuri, nnachohitaji ni updated software.

Apple wameona hilo ndio maana device zake zimeshuka bei atleast wanvutie watu kununua device mpya.

Iphone XR which is mid range phone kwa apple ndio best selling iphone kwa mwaka jana ikizipiku XS na XS Max.

Hii inakwabia nini?
 
ni 2 years hadi sasa, tucheki kama watakaa 5 years kama wanavofanya wenye 2Gb rams.


Kwanini Nokia hawakuiacha hio Nokia 8 bado wanaipa update ya software?
Ndio Nokia 8 imepata latest update na Nokia zote mpaka za Bei rahisi zinapata Android P ya mwakani.



Symbian haikuwa open source mpaka leo Nina simu za symbian na zinafanya kazi na naweka apps vizuri tu. Same windows pia sio open source Ila unaweza tumia Windows XP ya zaidi ya miaka 10 iliopita. Hizo Ni policy za Apple tu kufanya simu za zamani zisifanye kazi ili wanunue mpya, Ila siamini Kama feature phone irun WhatsApp na simu Kama iPhone 4 ishindwe.


Halafu Apple kahit bulls eye ile ile 6GB ram iliokuwa unaiponda ndio kaieka.
 
unazungumzia simu kuuzwa bei ndogo mkuu??

tafuta midrange za samsung utagundua bado apple anajitahidi ila haachi asili yake.
 
Hata Samsung hajashobokea hilo li Notch baya la iphone....Samsung anatumia water drop na V notch mzee...Tena anatumia kwny Midranges zake ambazo ni A series....Flagships S series na Note series anatumia Punc Hole.
Apple ni mzee wa kutengeneza njia, samsung alikuja na curved display hakuna aliye ishobokea. Apple alipotoa iphone X ikiwa na notch display basi naona ndiyo trend now hata samsung katosa curved display naye ana water drop notch.
 
Hata Samsung hajashobokea hilo li Notch baya la iphone....Samsung anatumia water drop na V notch mzee...Tena anatumia kwny Midranges zake ambazo ni A series....Flagships S series na Note series anatumia Punc Hole.
na angejichanganya angeharibu sana.
 
Kwanini hao Samsung au LG wasitengeneze kwenye simu zao?
Sababu Samsung ana design nzuri zaidi, kwenye low end anatumia water drop notch Ila kwenye high-end walitumia cut out display na quality wise miaka yote wanakuwa na quality nzuri Kushinda iPhone.
 
Rain south Africa wameshazindua 5G, sema still wapo kwenye rollout. na baadhi ya mitandao Wana mpango huo.

Sema tatizo la 5G Ni Kama Hilo unalosema haina range kubwa hata ikija tegemea maeneo machache Sana kuwa na network mfano katikati ya jiji.
Asante. Umeelewa hoja yangu ya kuona 5G kwenye simu bado ni gimmick.

Ukitaka uone matunda ya 5G subiri labda miaka mitano au sita mbeleni.

Atleast carriers watakuwa wameweka cells za kutosha kwenye baadhi ya miji mikubwa.

Nipo Dar bado nasumbuka na 4G ya tigo hiyo 5G itafanikiwa lini?

Hata wale reviewers wakubwa wakitaka kutest performance ya 5G inabidi wasafiri kwenda kwenye miji ambayo tayari cells za 5G zimeshawekwa.

Siwalaumu apple kutotoa 5G device mwaka huu, we should wait atleast for 3 to 4 years kuona the real performance ya 5G.
 
kama kuna kitu umenote kwa apple,wana delay kuongeza features katika simu zao ili za nyuma zisiachwe.

lakini sasa hawana namna,charange zimekuwa nyingi sana.akizubaa inakula kwake na wateja wake rayal.
Apple sio kwamba wanadelay kuongeza features kwa sababu simu zao za nyuma zisiachwe. ivi mkuu, bepari hataki ununue bidhaa kwake kila siku? Apple wao wanakwenda na msemo " si lazima uwe wa mwanzo kufanya kitu, muhimu uwe umekifanya vizuri zaid"

Smartphones kusema ukweli zimekuwa zinakosa mvuto, ni kama vile zimegonga mwamba kwanza, imebakia kuongeza rams na strorage an processors, yaani imekuwa game of numbers tu.

Mimi binafsi sijajishughulisha na kufatilia hizi habari za simu za iphone wala samsung, zote hakuna jipya
 
Na sasa hv niliskia Apple walikua wanatafuta diplays za Oled kutoka kampuni ya kichina ya BOE kisa Samsung wanawauzia diplays cost kubwa...maana katika iphone X moja production cost ni around $400 na Samsung display cost around $150...Lets wait tuone watawafuata China ama vipi maana Trump nae kapandisha ushuru kwa bidhaa imported from China.
 
Mkuu hapo kwa samsung S2 nilishangaa mtu ameweka android oreo!! Na inafanya kazi vyema
 
Halafu hivi vyote akina techradar na cnet walituambia kuwa vitakuja. Niliisubiri hii simu nikitumai kupata USB type C na in screen fingerprint but holaa. Unaweza shangaa wakavileta mwakani na ikawa big news kwao
CC Chief-mkwawa
Sana tu. Wametuangusha vibaya mno.

Hakuna USB Type C.

Hakuna improved high refresh rate pro motion display.

Hakuna reverse wireless charging.

Hakuna in display fingerprint.

Sasahivi wateja wananunua kwasababu ya eco system na sio kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…