iPhone 11... kuvunja rekodi?

Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
900
Points
1,000
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
900 1,000
Kushuka kwa mauzo ya iphone ni market saturation ya smartphone duniani na sio uchina tu.

Apple ni high end smartphone wanunuzi wake ni watu wanaojiweza kimfuko.

Smartphone market ya China ipo saturated, watu wanao nunua simu mpya kila mwaka inapungua.

Makampuni ya simu za android wana mid range na low end smartphones ambazo wamegeukia masoko ya 'emmerging markets' hata hapa Tanzania, wanunuzi wa Note au S series smartphone wanazidi kupungua. Watu wanahamia kwenye A series na chini ya hapo.

Ila pamoja na kutengeneza flagships pekee ila Apple yupo mbali sana kwenye mauzo na faida kuliko vile unataka kutuaminisha.
Sio market is saturated,watu wameanza kuwashtukia apple, android wengi wanatoa mid range phones zenye specifications sawa na za premius brand za apple, kwa nini mtu ahangaike na iphone?

Mauzo yanadrop na yataendelea kudrop zaidi. China ambayo ndio ilikua soko number 2 la iphones sasa hivi kuna makampuni kibao yanatoa simu zenye specifications na hata zaidi ya iphone kwa bei ndogo, wachina wameanza kustuka.

Soko alilobakia nalo ni Marekani ambapo kuna ushindani mkubwa na makapuni ya simu ya android yenye simu nzuri na bora kuliko Iphone kwa bei ndogo. Mauzo yatazidi kushuka kadri ya miaka inavyoenda.

Kama nilivyosema hapo awali, watumiaji wa iphone ni waumini, wao kwa kua iphone inajibrand kama premium brand, hata ikiwauzia mavi ikawaambia ni premium product watanunua tu.

Huko China wachina wanasema Iphone imeiba camera setup ya Mate 20.
screenshot_20190911-193353_facebook-jpg.1204694
 
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
8,181
Points
2,000
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
8,181 2,000
Ndo kipato chako kilipofikia, kwanini ujilazimishe kununua simu ya 3M yenye warranty ukakimbilia simu ya 500K imeshatumika, imeangushwa na haina warranty.

Being poor is very expensive. You settle for whatever life gives you. You don't define your own destiny.
Aisee!
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,203
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,203 2,000
Ni Nini? Android one updates zinatoka automatic kwa Google, toka lini Google akatoa updates kwa skin za oem?
We elewa android one sio stock japo updates zao ni kila mwezi
Mostly security na bloatware updates
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,203
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,203 2,000
Apple inaingoza kwa teknolojia ipi?
Alafu acha kulinganisha os, hayo ni mawazo ya kijinga maana huwezi kusema ios ni fluid, imeijaribisha kwenye simu gani nje ya Iphone? Hizo ni ecosystem tofauti kabisa.

Linganisha Iphone kwenye hardware na simu nyingine. Kama Camera, Display, Chip, na mambo kama hayo.

Ni mtu mjinga tu anaeweza kuuziwa nyama na ng'ombe iliyochinjwa mwaka jana kwa bei ya nyama ya ng'ombe iliyochinjwa leo fresh tena hata bei ikawa juu zaidi na akajisifia.

Nimeshasema hapo juu kua sasa watumiaji wa iphone sio wapenzi tena bali sasa ni waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako basi ndicho sahihi hata kama unadanganywa.

Kwa taarifa yako wateja wa Apple sasa wengi wameanza kustuka janja ya apple kuwaibia, huko Marekani watu wengi wanahama Apple kwenda amdroid, mauzo ya apple yanashuka kila siku na juzi Tim Cook alienda kumbembeleza Trump aondoe vikwazo kwa simu zake kutoka China maana kama vikwazo vikiendelea Iphone zitakufa kabisa kwa sababu Android wameshika soko sana Marekani na ikiwa hali itaendelea hivi basi Apple atafilisika. Soma hii kutoka kwa wakala wa apple wakisema watu wanahama toka apple kwenda android.
View attachment 1204634
Watu kama wewe siwez kubishana nao, ntapoteza tu nguv zangu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,974
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,974 2,000
We elewa android one sio stock japo updates zao ni kila mwezi
Mostly security na bloatware updates
Kaangalie madesa yako vizuri, Android one ndio hio hio stock, na Kama unakataa unatakiwa ulete utofauti baina ya stock na Android one.
 
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
3,203
Points
2,000
KweliKwanza

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
3,203 2,000
Sio market is saturated,watu wameanza kuwashtukia apple, android wengi wanatoa mid range phones zenye specifications sawa na za premius brand za apple, kwa nini mtu ahangaike na iphone?

Mauzo yanadrop na yataendelea kudrop zaidi. China ambayo ndio ilikua soko number 2 la iphones sasa hivi kuna makampuni kibao yanatoa simu zenye specifications na hata zaidi ya iphone kwa bei ndogo, wachina wameanza kustuka.

Soko alilobakia nalo ni Marekani ambapo kuna ushindani mkubwa na makapuni ya simu ya android yenye simu nzuri na bora kuliko Iphone kwa bei ndogo. Mauzo yatazidi kushuka kadri ya miaka inavyoenda.

Kama nilivyosema hapo awali, watumiaji wa iphone ni waumini, wao kwa kua iphone inajibrand kama premium brand, hata ikiwauzia mavi ikawaambia ni premium product watanunua tu.

Huko China wachina wanasema Iphone imeiba camera setup ya Mate 20.
View attachment 1204694
Ata high end android device hazina uwezo asilimia 80 ya iphone performance
Kuna big difference between android na iOS
Iphone 4gb of ram ni equivalent to 10gb on android, hii ni kwakuwa iOS ni light na efficiency
Ata battery kuwa na 2500mAh inakupa many hours kuliko 3500mAh ya kwenye android counterpart
Sichukii android ila iOS ina uwezo zaid ya android, in-fact ukinipa nichague kati ya android au iphone nachagua android kwakuwa napenda vya wizi( movies, games, na apps zisizo store)
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
10,950
Points
2,000
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
10,950 2,000
Wakisure bana.....mi sina mbwembwe kwenye mambo ya simu nunueni tu milion tatu mkipigika mtakuja wenyewe kutuuzia laki tatu....hii ndio style yetu ya maisha akina fisi sie
Ndo kipato chako kilipofikia, kwanini ujilazimishe kununua simu ya 3M yenye warranty ukakimbilia simu ya 500K imeshatumika, imeangushwa na haina warranty.

Being poor is very expensive. You settle for whatever life gives you. You don't define your own destiny.
 
Aldonae

Aldonae

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
566
Points
500
Aldonae

Aldonae

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
566 500
Unamaanisha camera ya huawei p30 pro megapxl 40 imezidiwa ubora na hii iphone 11???
Jamaa anavuruga mbaya,anafananisha iphone na akina tecno ili aonekane anaongea point.Anaacha akina Samsung,Huawei,Pixel....
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,891
Points
2,000
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,891 2,000
iPhone gani nzuri mtu akipigika akuuzie laki 3?
Wakisure bana.....mi sina mbwembwe kwenye mambo ya simu nunueni tu milion tatu mkipigika mtakuja wenyewe kutuuzia laki tatu....hii ndio style yetu ya maisha akina fisi sie
 
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
19,891
Points
2,000
lusungo

lusungo

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
19,891 2,000
Acha uongo aisee!! Binafsi hutumia android na iOS sambamba!! Hapa nina samsung S10 plus na nina iphone Xs Max hayo usemayo si kweli!! Unataka nambia iphone 8 plus kuliko samsung s10?
Ata high end android device hazina uwezo asilimia 80 ya iphone performance
Kuna big difference between android na iOS
Iphone 4gb of ram ni equivalent to 10gb on android, hii ni kwakuwa iOS ni light na efficiency
Ata battery kuwa na 2500mAh inakupa many hours kuliko 3500mAh ya kwenye android counterpart
Sichukii android ila iOS ina uwezo zaid ya android, in-fact ukinipa nichague kati ya android au iphone nachagua android kwakuwa napenda vya wizi( movies, games, na apps zisizo store)
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,213
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,213 2,000
dah mkuu,akinunua iphone 6s kwa mtu nawewe ukinunua dukani??apple wanawatofautishaje katika kusajiri id zenu??kuna kipengere cha kujaza umenunua shingapi??na bank statement?

nyinyi ndio mnanunua iphone ili muonekane mambo safi,ndio maana mnapobisha na ma geek mnajaa upepo mapema sana.
Warranty. Thats all.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,213
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,213 2,000
Sio market is saturated,watu wameanza kuwashtukia apple, android wengi wanatoa mid range phones zenye specifications sawa na za premius brand za apple, kwa nini mtu ahangaike na iphone?

Mauzo yanadrop na yataendelea kudrop zaidi. China ambayo ndio ilikua soko number 2 la iphones sasa hivi kuna makampuni kibao yanatoa simu zenye specifications na hata zaidi ya iphone kwa bei ndogo, wachina wameanza kustuka.

Soko alilobakia nalo ni Marekani ambapo kuna ushindani mkubwa na makapuni ya simu ya android yenye simu nzuri na bora kuliko Iphone kwa bei ndogo. Mauzo yatazidi kushuka kadri ya miaka inavyoenda.

Kama nilivyosema hapo awali, watumiaji wa iphone ni waumini, wao kwa kua iphone inajibrand kama premium brand, hata ikiwauzia mavi ikawaambia ni premium product watanunua tu.

Huko China wachina wanasema Iphone imeiba camera setup ya Mate 20.
View attachment 1204694
You are arguing like Simba na Yanga fans.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,213
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,213 2,000
Unamaanisha camera ya huawei p30 pro megapxl 40 imezidiwa ubora na hii iphone 11???
Ndo nyie mnaonunua pc au simu kuangalia numbers.

Elimu ni muhimi sana.
 
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
4,733
Points
2,000
Scars

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
4,733 2,000
Ndo nyie mnaonunua pc au simu kuangalia numbers.

Elimu ni muhimi sana.
Ndio nyie mnaonunua pc au simu kwa kuangalia logo ya apple

Kwa mtu aliyetimamu hawezi kufananisha megapixel 40 ya huawei p30 pro na iphone 11 yenye pixel 12+14

Kupata elimu isiyoweza kukusaidia kuchanganua hata vitu vidogo ni zaidi ya ujinga
 
Forum statistics

Threads 1,335,150
Members 512,245
Posts 32,497,085
Top