Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Ipe neno hii picha ππππ
Kila mtu afe na chakeWatu hawatafuti tena ufalme wa mbinguni! Bali hata gas waambulie hapa hapa duniani!
Tiss wameyaweza sana mazombi ya nchi hiiIpe neno hii picha ππππView attachment 3436767
Ipe neno hii picha ππππView attachment 3436767explosive
Pamoja na kwamba ni picha ya kubuni (AI), lakini inafikirisha sana.Ipe neno hii picha ππππView attachment 3436767
Pumnzi ya gesi.Ipe neno hii picha ππππView attachment 3436767
baby mamboπππππ
Poaa!!baby mambo
Sasa usipowaka si anaacha kuamini na huyo nabii kupoteza mfuasiImani za kidini zinawapumbaza watu.
Mtu umeme unaisha anakwambia mtume na nabii kasema akipaka mafuta ya upako kwenye mita umeme unawaka
nimekumisi wapi io?Poaa!!