Ipe maneno picha hii

mkuuu nchii hiii, na hapo ulipo niilikuwapo mie, sasa angalia halii hii ilivyokuwa ngumu, tumia akiliiii :happy:
 
former p.m&current p.m






msu>> unasikia bwana mdogo.....
pin>> ehe
msu>>enzi zetu hatukuwa wasanii kama ninyi......
pi>> acha hizo!!
msu>> ndio nakueleza !!...tulikuwa tuna nidhami ya kijeshi katika utendaji wa kazi....
msu>>pia tulikuwa tunaheshimika sana tofauti na ninyi vijana wa leo.
pi>> mkuu hapo unaniongopea!!..ina maana mlikuwa hamjivui magamba???
msu>> mambo kama hayo hayakuepo kabisa...mfano..ukila...rushwa.....unachapwa viboko 12 kabla ya kuingia jela..na baada ya kifungo unachapwa tena viboko 12.
pi>> duh! Hilo kwa sasa gumu sana mheshimiwa, maana watachapwa wengi...ndio maana tunajivua magamba!!
 
Kuweni makini mrekebishe mambo kungali bado vinginevyo mnakwenda na maji oohooooooo shauri yenu
 
Msuya: Uongozi na serikali yenu vinanuka si puani tu bali hata masikioni.

Pinda: Mheshimiwa mzee, sijakuelewa. Ni fumbo umenipa. Naomba nisaidie.

Msuya: Serikali yenu mlivyo ni kama mtu mzima mzima aliyetoa ushuzi kati ya wenzake mliokaa katika maongezi. Akiingia mgeni mara, kwa atasikia harufu ya mnuko kisha akiwaangalia usoni kila mtu ameukunja uso. Ni mwenye ujasiri, mmoja ama wawili, tu ndiye anayeweza kuendelea na mazungumzo.
Wapo walio**mba, nyote mnanuka. Suluhisho si kunyamaza kimya bali ni kumtafuta na kumfukuza kama hataki kujiondoa kwenye kijilinge chenu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom