Involuntary action

Involuntary action

MKUU NIMEKUELEWA HAPA
Lakini inakuwaje unawapenda wawili hali una moyo mmoja...!? Hakika kuna mmoja utakuwa unamdanganya... Ni yupi kati yao? Hiyo ni siri yako... Moyo umeumbiwa mmoja tu .
Kweli kabisa inabidi wanadam tubadilike.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa hapo mchochezi ni nani kati yangu mimi na wewe
ukianza kubisha ndivyo unavyolisogelea ombwe la kupimwa mkojo kisa uchochezi!
hiyo picha tu umefanya liking'amuzi langu limedind.. uchochezi huo.
hayo maneno yako tu yamefanya niwaze nilivyowaza! uchochezi huo.

ponapona yako itabidi unipe namba za nazja.. alasivyo punde tu difenda yenye king'ora na watu wenye gms watakuwa mbioni kukutia mbaloni.. Waiting...😀
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom