Invitation to all JF members: Debate!

Last edited by a moderator:
Matola aliconfirm kabla sijapost hii thread, ila naamini atakuja kuconfirm tena kabla ya siku ya debate. He is happy to participate on this debate, he sounds ready and confident.

That's nice, he got my support 100% All the best..........tunategemea majibu na maelezo ya uhakika na sio tambo na maneno ya rejareja
 

I am not going to indulge into a warmup debate prior to the debate, however, I can simply summarize an answer to you and yours:

Hypocrites Hyperthesis.
 
Kamanda Matola nakuona upo online! Tunaomba neno moja tu kutoka kwako kuhusu huu mdahalo! Tunaamini kambi ya Pro-Matola itaangusha kambi ya Pro-Zomba
 
I am not going to indulge into a warmup debate prior to the debate, however, I can simply summarize an answer to you and yours:
Hypocrites Hyperthesis.
Did you mean Hypocrites Hypothesis? ha ha haaa!...ever heard of one who approaches greatness on his belly?...it is so that he doent have to be commanded to turn to be kicked!
 
To all JF Members,
Ninawaahidi nidhamu, heshima na kuheshimu imani za wengine kwenye Debate hiyo, ni wakati wa kuonesha Hekima zetu na kuipa JF heshima inayostahili. Namuheshimu Zomba na nina uhakika ana uwezo wa kujenga hoja katika mada tajwa kama ninavyojiamini mimi mwenyewe katika hilo.
Smile umenichekesha sana, cha Arusha huwa situmii ni swaga tu, Ritz usiwe na shaka Mkuu siku hizi nakukubali kutokana na post zako zimeanza kukaa kwenye ukweli, Precise pangolin usiwe na wasiwasi unakaribishwa sana, Roullete anasifika kwa kutompa ban Member kabla hajamuonya kwenye pm The Boss habari yako bana.

Hitimisho: Sheria na kanuni za JF nitazizingatia kwa 100% kuna baadhi ya Members ndio huwa wanasababisha wengine tuwe Radical lakini Matola ni mtu powa kabisa with Muslim & Christian Siblings.
 
Last edited by a moderator:

I am looking forward kwa mjadala
thanks...
 

Maneno mazito Kamanda Matola
 
Last edited by a moderator:
Mungi,

Naona umerukia kujibu post yangu mie nakujibu hivi... Debate inahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012...

Kwa hiyo siasa haipo hapa?

sawa, tunakwenda kujadili utawala wa kikwete kutoka 2005 mpaka 2012. So what?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana. Kiswahili wala hakinipi shida. Nadhani kuna two schools of thoughts. Kuna ambao wanaamini Suali ni sahihi na wengine wanasisitiza kua Swali ndio sahihi. Kwa sasa nadhani zote mbili zinaruhusiwa (Dixit Kiranga)

Hapo wote mpo sawa tu kisarufi. Neno suali na swali yote yanamaanisha kimoja. Kilichojitokeza hapo kitaalam kinaitwa uyayushaji, huu hujitokeza mara nyingi pale ambapo irabu mbili (ya kwanza ikiwa u kisha irabu nyingine ) zinapoofuatana, irabu hizo huyayushwa na kuzaliwa kiyayusho (w).
Mfano- mualimu = mwalimu
muimbaji = mwimbaji
muombaji = mwombaji
suali = swali
hivyo basi neno la asili kabisa ni suali lililoyeyushwa na kuwa swali.
Kuhusu huo mgongano wa mawazo lazima niwepo kama mtazamaji vutiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…