Invitation to all JF members: Debate!

Ideal nzuri ya debate, Zomba ni mtu sahihi kuja kutetea utawala wa JK ila nina wasiwasi na uwezo wa upande wa pili wa ushiriki, nafuu kidogo angekuwa mtu kama Mzee Mwanakijiji, debate ingekuwa safi.
YEYE Unaweza ukawa sahihi kwa unalodhani au kufikiri, lakini je hauoni kama tunahitaji kuzalisha akina Mwanakijiji wengi zaidi? na kama ndio unadhani ipi ni njia sahihi ya kuwapata kina Mwanakijiji wengi, je fursa kama hizi apewe Mwakijiji ili aendelee kuwa Bonge la Mwanakijiji au apewe Matola ili naye apate fursa ya kuunowa ubongo wake?
 
Last edited by a moderator:
Thanks kwa mualiko, ila nashauri dabate motion ingekuwa narrowed kidogo ili kupata faida kubwa, the way it appears Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012; inaweza kufanya discussion kuwa ngumu kidogo. Kwa mfanno ingekuwa tunajadili specifically katika HUDUMA ZA JAMII au SIASA au DIPLOMASIA au UFISADI au, au , au , au ingekuwa bora kuliko kuwa Broad that way! Naomba kupendekeza hilo!
 
Hakuna mwana ccm anayeweza kusimama kwenye mjadala na Mzee Mwanakijiji.

Pia kusema ukweli, sijui ni majibu gani atatoa Zomba akiulizwa kuhusu kashfa za ufisadi ambazo hazijapatiwa majibu na bosi wake? Zomba please usije ukatupotezea muda na pia jitihada za mrembo wetu kiongozi Roullete, ambaye ni mfano wa kuigwa kwa waislam waliomo humu ndani?
 
This is a very nice way of educating people, Ingawa mimi mupenzi ya hii kitu itakuwa ngumu kuwepo siku ya tukio.

HONGERENI SANA MODS.
 
Ni vigezo gani vitatumika katika uchaguzi wa hayo maswali 3? Tatizo moderators wengi wa JF ni pro Chadema tunachotaka ni fair play; si tu katika uteuzi wa maswali bali mpaka mtiririko mzima posts.

Chama
Gongo la mboto DSM
Kufatana na vile yake masuali yatajibiwa Mwali atachagua yale ambayo yataleta mtazamo tofauti na masuali kumi atakayo andaa yeye.
 
Last edited by a moderator:
Nitakuwepo.......mmeandaa ambulance? llooh kuna mgogoro wa madaktari bima ya afya vipi?

Ila mruhusu maneno makali kidogo yawepo!!!!
 

jmushi1,

Mie nakushauri mambo ya Waslam ungewachia Waislam wenyewe wewe kila post yako lazima uwataje Waislam mfano wa Waislam ni Mtume Mohammad peke yake wewe sio Muislam huwezi kumjua Muislam safi...wewe jikite kwenye kutoa ushauri kwenye dini yako.
 
Last edited by a moderator:
Mi sina dini,wala imani yangu hainitumi kutukana wengine,kuwaita nguruwe,na kujilipuwa ili kuwauwa wengine,hilo linanifanya niizungumzie kwasababu yote hayo yanafanywa kwa jina la dini ya uislam na nyie mlioleta udini kwenye siasa sasa mnatapapa,usinipangie cha kuzungumza humu.Kawapangie radio imani sijui. Na alnuur,tumia akili si makamasi.
Hakuna pahala nilipokutaja,wewe siyo muislam pekee humu ndani,na sijui nani kasema wewe ndo mwakilishi wao humu?lakini nakwambia kama udini utasababisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe,basi usitegemee wewe utakuwa muislam atakayetegemewa kwenye mazungumzo.Wewe na wenzako wengi mmechangia chuki za udini humu na mko responsible!Sijui kusema Rollete ni muislam safi imekuuma?
 
Last edited by a moderator:

Mnafiki ajifichi sasa unasema una dini na wala imana yako haikutumi kutukana wengine sasa Radio Iman na Al-Nuur, akili za makamasi yameingiaje hapo hivi udini humu JF unaletwa na Waislam tu...mbona tunakuwa double standard
 
Mnafiki ajifichi sasa unasema una dini na wala imana yako haikutumi kutukana wengine sasa Radio Iman na Al-Nuur, akili za makamasi yameingiaje hapo hivi udini humu JF unaletwa na Waislam tu...mbona tunakuwa double standard

Jifunze kuwasoma wenzio,nimekuwa nikilaani pande zote zinazotumia dini za wakoloni kutugawa waafrika.Ndo msimamo wangu,kuna mnaochochea haya mambo,na kuna ambao mnafight for religious superiority,huwezi kumind your business wewe na imani yako,na kwamba tuna janga kubwa la uamasikini,tena wengi wenu mkiattribute hayo kwa dini nyingine,hata mwalimu mnayemlaani kwa juhudi zote hivi sasa,nakuhakikishieni kuwa mtamkumbuka!Pahala mmefikia kuattribute matatizo ya taifa kwenye vigezo vya dini,ina maana kuwa vita itakuwa zaidi ya udini,ina maana ukombozi halisi wa kupigana na wakoloni weusi unaweza kubeba sura ya vita vya kidini kwa upande mwingine.
Tumieni akili wakuu,nakuhakikishieni chuki ya udini outcome yake haijawahi kuwa nzuri popote pale.
 

Crackpot...
 
Asante sana. Kiswahili wala hakinipi shida. Nadhani kuna two schools of thoughts. Kuna ambao wanaamini Suali ni sahihi na wengine wanasisitiza kua Swali ndio sahihi. Kwa sasa nadhani zote mbili zinaruhusiwa (Dixit Kiranga)

'Suali' ni sahihi zaidi ingawa 'swali' utaeleweka pia ,tatizo kwa sisi wapwani pwani ukisema 'swali' tutautafuta mswala tuanze kusali(kuswali) wakati suali hutokana suala jambo-hoji.ooops! kumbe debate haijaaanza! samahani!
 
Crackpot...
Si unaona unakoelekea we ustaadhi?ndo "ustaarab" wako wa swaumu huh?talking about unafiki,we ndo the defintion of it...Na mchango wakounafanana sana na avatar yako,una mawazo na hoja mfu pamoja sumu mbaya sana ya udini.
 

Yaani wewe kwa hii post yako ndo umenipa hamasa ya kuwepo kabisa.
Naomba hiyo siku ikifika nisisahau aisee!
 
jmushi1 na Ritz funikeni kombe mwanaharamu apite, taratibu tu tutaelewana humu, na huko ndiko tunakopaswa kwenda.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…