Introducing teamrafiki

Ngoja kwanza.. huyu kiwatengu tangu lini akaongoka na kufaa kuingia humu!???

Linalokutiza linafanyiwa kazi.ana mke mmoja tu shansarie.la udaku undo tutasovu....usijali sawa ee
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini mlitusajili kwa muda halafu mkatutoa? Nimekata rufaa rasmi
 
Naomba kutangaza kuhama rasmi TeamBazaz# kama tu mtanipokea teamRafiki#
 
Last edited by a moderator:
Usafi na UDAKU haviendani mkuu..



Nami nangojea mai waifu..

halafu unajua jinsi ambavyo umenichoesha mahindi lakini? #nasemaTU ama leo sio ile siku ya kukutanika kwa ibada?

Usijali..utamtambua kwa matendo

kiongozi wa ibada kaniuza..

kaahirisha ibaada hadi kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…