Introducing teamrafiki

nahisi una matatizo ya kisaikolojia
nisiendelee kupoteza muda wangu
na mtu asiyeeleweka

na hilo limetoka wapi sasa!!

mbona umeulizwa swali kwa picha.. '' ae you lonely''?

sasa hapo kuna tatizo la saikolojia?

kwanza unaijua saikolojia wewe au umemeza tu...! siku nyingine uwaze kabla hujaongea..
 
i have a dream that is quite simple.

na hilo limetoka wapi sasa!!

mbona umeulizwa swali kwa picha.. '' ae you lonely''?

sasa hapo kuna tatizo la saikolojia?

kwanza unaijua saikolojia wewe au umemeza tu...! siku nyingine uwaze kabla hujaongea..
 
she is with her friends
good.. sasa ona huyu nae alivyojibu hapa!! sijui kapeleka wapi akili!!
she is with her friends

nahisi una matatizo ya kisaikolojia
nisiendelee kupoteza muda wangu
na mtu asiyeeleweka

hivi wewe uliwaza kwamba nimekutongoza kwa kukuuliza are you lonely??

ulielewa manake au ulikurupuka tu na kuropoka huu ujinga ulioandika??

do you know psychological problems you woman?

aisee dont provoke me again....!!!
 
Hahaaaa...mndengereko.com. Wala usijali tupo wengi tu wa kidigitali.

sio ishu lakini inabidi tuchukue jitihada za makusudi tujifunze kikwetu,walau kidogo coz ndo asili yetu tukifanya masikhara baada ya miaka mia mbele tunaweza kuzipoteza hizi llugha
 
mnaruhusiwa mkuu ila hapa kumbuka tunahimizana kuhusu tabia njema ikiwemo kuepuka kuchepuka coz sio dili,so kama hilo linawezekana karibu kundini
Halahala isije kuwa jumuia ndogo ndogo mkuu...
 
Excel za siku? mdogo wangu miss neddy mzima? mwambie nammiss sana
 
Last edited by a moderator:
sio ishu lakini inabidi tuchukue jitihada za makusudi tujifunze kikwetu,walau kidogo coz ndo asili yetu tukifanya masikhara baada ya miaka mia mbele tunaweza kuzipoteza hizi llugha

Kweli kuna umuhimu wa kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…