Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,414
- Thread starter
-
- #741
Nimepita hapa
Ok, Mndengereko nikaribishe member mpya#team rafiki
Habari zenu wakuu. toka nilipojiunga jf sijawahi kuchangia. Ila leo kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa team rafiki.
Habari zenu wakuu. toka nilipojiunga jf sijawahi kuchangia. Ila leo kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa team rafiki.
kijana, bado nakupima tu....!
bado napima madhara utakayoyapata kutoka
jihadhari!
umeamka?,kwanza salimia heshima za wapi hizo kijana.?
nataka nimchanie mistari Excel anazingua sana.
kijana, bado nakupima tu....!
bado napima madhara utakayoyapata kutoka
jihadhari!
kama ni kuchangia nenda kwa wakuu wahusika mafounder wetu
kule eeeeee
na kama ni kujiunga basi wakaribishwa sana
Kuchangia hela?
Kuchangia mada. umeridhika mpenz.
marhabaa..ok... godmorning this afternoon!!
Nimeridhika sweetheart
Nishakaribia mdengereko, tena me mmakonde, we utakuwa mtani wangu!