Introducing teamrafiki


teamrafiki itaendelea kuwepo sio baada ya qwaresma tu bali hata baada ya sisi kuondoka hapa duniani watoto wetu watakuja kuliendeleza kundi coz hakuna asiependa urafiki na upendo kwa binaadamu wenzake. So kuwepo badala ya qwaresm wory out.
 
Last edited by a moderator:
Nice avatar! Ndio mnaamzaga hivyo hivyo!

Red card!

aisee ntuzu unanichukia aisee!! dah!

haya bana, mi naenda.. nageuzia hapa kabisaaaa!!! nna dam chaf eenh!
 


#teamRafiki imeanzishwa kabla ya Kwaresma! Kwahiyo lazima idumu daima!

Na hatutaki ufadhili kutoka sehemu yeyote na nchi yeyote! Pesa zenu chafu zinafadhili Ubazazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…