Introducing teamrafiki

angalizo kwa wanachama wote Mashaxizo na Excel wote tumewapa red card kwenye chama chetu so wasiwaumize vichwa @ all

Aaaka! Mwenyekiti awe na busara, uvumilivu na pia aweze kukabiliana na challenges!
Mashaxizo kosa lake linazungumzika istoshe hahusiani na ubazazi!
...
Nakata rufaa juu ya uwamuzi huo unaomuhukumu Mashaxizo!
 
Last edited by a moderator:
Aaaka! Mwenyekiti awe na busara, uvumilivu na pia aweze kukabiliana na challenges!
Mashaxizo kosa lake linazungumzika istoshe hahusiani na ubazazi!
...
Nakata rufaa juu ya uwamuzi huo unaomuhukumu Mashaxizo!

acha uoga dogo!! utalelewa hadi lini! njoo huku usake maisha!
 
Karibu. Ile swali langu lilikua lina maana zaidi ya hii.

Honestly sijaona mahali panakohitajika pesa hapa, I understand I am foolish sometimes though. I maight have missed a point downt the line as to why #Teamrafiki . Wakuu hebu ng'amua hapa Mndengereko, Ntuzu, Karucee, Mr Rocky, miss chagga, mwallu,

 
Last edited by a moderator:
actually, mbali na ufadhili, ntawaletea miradi mingine mingi tu ili msikae bure vijiweni!!!

timu yenu ni nzuri! ni wazo zuri sana vijana!!! mwaka huu wenu kabisa!!! lazima muinuke kupitia mimi excel...

vigelegele tafadhali....!!!!!!!!!!!
peleka ufadhili wako team bazazi au agent wa #team bazazi (NAM)
 
Hahahahahahahaaaa!
Kwa msistizo huo itabidi nikubali sasa! lol!
Haya kuwa nasi bega kwa bega katika kuimarisha urafiki wetu, na kupiga vita ubazazi kwenye timu yetu!
...
Be cool!
Pamoja sana!

apology accepted ila bado hujakaribishwa kundini so be cool!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…