miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mwnafunzi ndo nini hikiOk! Hayo ndio maneno!
Lakini mbona wewe ni #teambazazi afu ni mwenyekiti wa #teamrafiki ?
Umerudisha lini card yao?
...
Afu naomba kujiunga na #teamrafiki ! Au sina sifa?
toba hivi bank winatafutamchumba mwambie nipo
ngoja niandae fito kabisa! ... ukizingua tu ...
nilikupa nafasi ya kunielezea kwa kina unanitambua vipi.. ukashindwa, sasa wasema wanijua... mimi ni nani hasa mwallu?
:nono::nono::nono:
Wewe inabidi uukane kwanza u membership wa #TeamBazazi . Bila hiyo #TeamRafiki kutakushinda.
nilisema... mambo vipi mc?
Ebu Kua na subira! Km Ni mtu Wa hila tutamjua tu! Maana kauli zake zingine mmmmmmmh!
Ok! Hayo ndio maneno!
Lakini mbona wewe ni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] afu ni mwenyekiti wa #teamrafiki ?
Umerudisha lini card yao?
...
Afu naomba kujiunga na #teamrafiki ! Au sina sifa?
kivipi ntuzu? mbona iko saikolojikali defined...
thats how we play our game,you break our rules you get red card.
hapo bold 'yes'..ila kukujua :nono::nono:
kwa heshima ya sezae Ntuzu...nanyamaza..wacha niwe na subra kama alivosema
mwnafunzi ndo nini hiki
mbona wawa kigeu geu? umetamka wanifaham.. sasa wanikataa!! hebu kuwa moja basi tukuelewe!
moto au baridi?
thats it.I like it. There has to be some dignity and respect otherwise the cookie will crumble and all our efforts will be nullified!
Excel yuko wapi dada yng miss neddy ?? Sikuoni kumuita au kumtangaza?